Wednesday, November 9, 2016

AZAM TV NA BBC SWAHILI WAONGEA NA WATANZANIA WASHINGTON, DC KUHUSU UCHAGUZI WA MAREKANI


Mtagazaji wa BBC Swahili Zuhra Yunus (kushoto) akifanya mahojiano na mkazi wa DMV Asha Hariz Siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika mgahawa wa Swahili Village.
 Kulia ni Mtangazaji wa luniga wa Azam Tv Charles Hillary akifanya mahojiano na Iddi Ligongo (kushoto) na Mzee Boaz siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika mgahawa wa Swahili Village.
Kutoka kushoto ni Nambai mkazi wa DMV akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.

kushoto ni Nambai mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
 kushoto ni Nambai mkazi wa DMV Dotto akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
 Kushoto ni Mashaka akipata picha na John Mbele
 kushoto ni Dotto Haruba mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
 kushoto ni Mashaka mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.
  Kushoto ni Pius  Alawi  mkazi wa DMV akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea na maswala ua utangazaji na DMV Mubelwa Bandio.

No comments: