Saturday, October 8, 2016

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI
SIMU.tv: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amuagiza katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu sera na bunge kufanya uchunguzi juu ya uuzwaji wa kiwanja cha CDA Dodoma;https://youtu.be/pySiMPyl1I4

SIMU.tv: Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano aziagiza taasisi zilizochini ya wizara ya ujenzi kuanza mpango wa mkataba kazi kwa watumishi; https://youtu.be/AVjjXE1kESg

SIMU.tv: Mwanamume mmoja wilayani Songea amuua mke wake kwa Sululu kwasababu zinazotajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi; https://youtu.be/HCaAi5msQxI

SIMU.tv: Rais John Magufuli amesema serikali ya awamu ya tano inathamini mchango wa wafanyabiashara wazawa; https://youtu.be/zdpEgaVZ5No

SIMU.tv: Waziri wa elimu Prof. Ndalichako aagiza kufukuzwa chuo walimu waliohusika na kupiga mwananfunzi wa shule ya sekondari Mbeya. https://youtu.be/y2KpDuqNomo

SIMU.tv: Rais John Magufuli amteua Bolozi Ombeni Sefue kuwa mwenyekiti wa bodi  wa chuo cha Diplomasia; https://youtu.be/KIbiDof9TqM

SIMU.tv: Serikali mkoani Iringa yawataka wanufaika wa mifuko ya hifadhi ya jamii kupuuza taarifa zinazoenea kuwa mifuko hiyo haina fedha. https://youtu.be/9XNI-so1z-Q

SIMU.tv: Wahandisi wa maji mkoani Tabora wametakiwa kuhakikisha miradi ya maji mkoani humo inafanyiwa kazi haraka; https://youtu.be/RcWNiAqovwQ

SIMU.tv: Waziri  wa  Ujenzi  Uchukuzi  na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa aitaka TANROADS kuandaa kanuni za kuthibiti uzito wa magari. https://youtu.be/dPrA2wt6kVw

SIMU.tv: Wanafunzi  200 wa shule ya sekondari Namasakata  mkoani Ruvuma wanalala chini kutokana na ukosefu wa vitanda; https://youtu.be/bUa5UiKAXQI

SIMU.tv: Fuatilia mazungumzo kutoka kwa mwanahabari Hamza Kasongo akielezea namna alivyotangaza siku ya Uhuru  wa Tanganyika 9.12.19961;https://youtu.be/_NObWaCbUV8

SIMU.tv: Tazama mazungumzo kuhusu wiki ya huduma ya wateja kutoka kwa mkuu wa masoko na mawasiliano wa mfuko wa hifadhi ya jamii LAPF;https://youtu.be/e4PPDPbcoUc

SIMU.tv: Magufuli awajia juu waliohodhi ardhi, waziri mkuu akutana na madudu CDA, Ukatili: Chanzo mwanafunzi kushambuliwa kinyama.Pata dondoo za magazeti ya leo hapa.https://youtu.be/4iqx5aWXF6U

No comments: