Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila akitoa Hotuba katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Makazi na Maendeleo Endelevu ya Miji (UN-HABITAT III, Quito – Ecuador)
Meza Kuu katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Makazi na Maendeleo Endelevu ya Miji (UN-HABITAT III, Quito – Ecuador) wakifuatilia Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila.
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila baada ya kutoa Hotuba, akipongezwa na Profesa Anna Tibaijuka; Mbunge wa Muleba Kusini, wengine ni Immaculata Senje; Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Sada Sekiete- Afisa Mipango Miji Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Katibu Mkuu; Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila akiwa na viongozi wa UN-HABITAT Africa Region kutoka Nairobi wakifanya mazungumzo kuhusu kufufua shughuli za shirika hilo nchini Tanzania.
Katibu Mkuu; Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila, Immaculata Senje; Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Sada Sekiete Afisa Mipango Miji Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika picha ya pamoja na viongozi wa UN-HABITAT Africa Region kutoka Nairobi
Wajumbe kutoka Tanzania, kutoka kushoto ni; Katibu Mkuu; Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila, Nehemia Mchechu Mkurugenzi Mkuu katika Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Immaculata Senje; Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Fatma chullo Mkurugenzi wa sheria wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakifuatilia Mkutano wa wa Umoja wa Mataifa wa Makazi na Maendeleo Endelevu ya Miji (UN-HABITAT III, Quito – Ecuador)
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano – Wizara ya Ardhi
No comments:
Post a Comment