Monday, October 24, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI


SIMU.TV: Umoja wa mataifa umesema jitihada zaidi zinahitajika kuwaendeleza vijana wa kitanzania ili kuwasaidia kujikwamua kiuchumi; https://youtu.be/Uj9us-vB_Fg

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shegela, amewataka watanzania kujiandaa na ujenzi wa bomba la mafuta ambao maandalizi yake yamekamilika kwa 60% ; https://youtu.be/R0-E5l3tmlA

SIMU.TV: Mtazamaji pata kidogo uchambuzi wa mchakato mzima wa uchaguzi mkuu nchini Marekani ambao unatarajia kufanyika takribani wiki mbili zijazo; https://youtu.be/MGmsCiWJQDM

SIMU.TV: Matumizi ya teknolojia ya kidigiti yamekuwa na manufaa makubwa kwa kupunguza gharama katika ukusanyaji wa takwimu mbalimbali; https://youtu.be/XP4jCAOvYQA

SIMU.TV: Mafunzo ya kujiajiri yanayotolewa kwa vijana wanaojiunga katika majeshi ya kujenga taifa JKT yanasaidia vijana wengi kujiajiri; https://youtu.be/zzFyO6U0DVw

SIMU.TV: Mapato katika soko la ndizi la Mabibo jijini Dar Es salaam, yameshuka kwa kasi kutokana na ongezeko kubwa la matunda;  https://youtu.be/YkPHy4_cVAM

SIMU.TV: Mauzo ya hisa katika soko la hisa jijini Dar Es salaam yamepanda kwa asilimia 28 kulinganisha na juma lililopita; https://youtu.be/G-ylJyQP28c

SIMU.TV: Mfalme Mohamed VI wa Morocco amekubali ombi la Rais Magufuli la kujenga uwanja mkubwa michezo mkoani Dodoma; https://youtu.be/e9GFtAygdk0  

SIMU.TV: Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Hans Van Der Pluijm ameachia ngazi baada ya timu hiyo kumleta kocha mwingine kutoka Zambia; https://youtu.be/0WDK4KenSLU
  
SIMU.TV: Kikosi cha wachezaji tisa timu ya taifa ya Gofu kinaondoka kuelekea nchini Ethiopia kushiriki mashindano ya gofu kanda ya tano; https://youtu.be/6-lWPNhE-vg

SIMU.TV: Ligi daraja la pili mpira wa pete taifa inatarajia kuanza kutimua vumbi wiki ijayo huko mkoani Ruvuma; https://youtu.be/Oj9XnBL4aL8

SIMU.TV: Serikali kupitia wizara ya maliasili  na utalii imeunda kikosi kazi kwa ajili ya kupambana na ujangili na uvunaji haramu wa mazao ya misitu. https://youtu.be/sUoVZUH3aJs

SIMU.TV: Taasisi ya teknolojia ya Dar es Salaam imebuni vifaa na mifumo ya TEHAMA kwa ajili ya kupima na  kukusanya taarifa za hali ya hewa. https://youtu.be/eVdAeliU9rI

SIMU.TV: Chama cha mapinduzi CCM katika mkoa wa Dar es Salaam kimekanusha kukiuka taratibu katika uchaguzi wa meya manispaa ya Kinondoni. https://youtu.be/DrCCtEPcDOw

SIMU.TV: Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Morogoro wameiomba serikali kuhimiza suala la uhifadhi wa mazingira na kuzuia ukataji wa miti ovyo. https://youtu.be/DnZ6vCzUK0U

SIMU.TV: Serikali imetakiwa kutoa kipaumbele katika upatikanaji wa vifaa tiba kwa kila mkoa pamoja na wataalamu wenye uwezo wa kufanya upasuaji kwa watoto wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi. https://youtu.be/pungEkZl8m8

SIMU.TV: Wakazi wa jiji la Dar es Salaam kesho wametakiwa kujitokeza kwa wingi kumeza dawa za kinga za magonjwa ya Matende Mabusha na vikope. https://youtu.be/KBJxwf1QdYU

SIMU.TV: Jumla ya mikataba 22 imesainiwa leo kati ya serikali ya Tanzania na Morocco ikilenga kuipeleka Tanzania kuwa na uchumi wa kati. https://youtu.be/npmoPZAy0tM

SIMU.TV: Wadau mbalimbali wa jeshi la kujenga taifa JKT wametakiwa kuandaa mipango ya mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kuwafanya vijana wajiajiri. https://youtu.be/Obw-RY3Y_HU

SIMU.TV: Kaniasa la kiinjili la kilutheri Tanzania limesema litaendelea kutoa huduma za kifedha kwa wananchi wa dini zote na makundi yenye mahitaji maalumu. https://youtu.be/VskC7IefWZ0

SIMU.TV: Vikundi 23 vya akina mama wajasiriamali katika halmashauri ya Kisarawe wamepatiwa mikopo kutoka katika halmashauri hiyo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la kutenga asilimia kumi ya mapato kwa ajili ya akina mama na vijana. https://youtu.be/_reyVyqL-0Y

SIMU.TV: Timu ya Yanga imefanya mabadiliko katika benchi la ufundi na kumleta kocha mpya kutoka Zambia George Lwandamina atakaye saidiwa na Charles Boniface Mkwasa. https://youtu.be/QNUXj-qRMhA

SIMU.TV: Klabu ya jeshi la wananchi wa Tanzania imetamba katika michuano ya Gofu ya PWC baada ya mchezaji wake Nikolus Chitanda kuwashinda wachezaji zaidi ya mia moja. https://youtu.be/s6A6tdmmFHg

SIMU.TV: Wadau wa soka duniani wameendelea kuipa salamu za pongezi klabu ya Mamelodi Sundowns baada ya kuishinda Zamalek kwenye fainali za klabu bingwa Afrika. https://youtu.be/HZiTy0xqdIs

SIMU.TV: Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho ameomba radhi kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kipigo cha nne bila kutoka kwa Chelsea. https://youtu.be/rtoPA-QmgW8


No comments: