Tuesday, October 4, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS KABILA WA DRC KWA MAZUNGUMZO RASMI IKULU DAR ES SALAAM LEO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha UMOJA Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph KabilaMhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuriwa na  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kinyago toka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kinyago toka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  Mhe Joseph Kabila Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenye ukumbi wa mkutano na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  katika mazungumzo rasmi na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Joseph Kabila  na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Joseph Kabila na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
PICHA NA IKULU
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila  na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila   akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila   akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila   akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila wakati  akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es salaam leo 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es salaam leo 

 Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es salaam leo 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila  na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila  na ujumbe wake katika picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila  na ujumbe wake katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016


No comments: