Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa wakati wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa (kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru alipowasili kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhresa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa Watendaji wa Bakhresa Group Bw. Aziz Salim
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa maafisa waandamizi Bakhresa Food Products LTD
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa maafisa waandamizi Bakhresa Food Products LTD
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamanda Boniventure Mushongi
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kupata maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein
Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji wa matunda katika
kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Allyakitoa muhtasali wa shughuli wakati wa ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhresa Bw. Abubakar Bakhresa akisoma risala kwenye shere hizo
Mbunge wa Mkuranga Mhe abdallah Ulega akisema machache
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma ripoti kuhusu viwanda na uwekezaji mkoani humo
Mshereheshaji Charles Hilary akiwa kazini
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea machache kabla ya kumkaribisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo
Wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo

Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na maafisa waandamizi wa Bakhressa Group
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wafanyakazi wa Bakhressa Food Products Ltd.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Charles Hilary wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Bw. Dunstan Tido Mhando. PICHA NA IKULU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Oktoba, 2016
amezindua kiwanda cha kusindika matunda kinachomilikiwa na kampuni za kitanzania
za Bakhresa katika eneo la Mwandege, Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
Kiwanda hicho ni
miongoni mwa viwanda 13 vinavyomilikiwa na kampuni za Bakhresa vilivyopo Dar es
Salaam na Pwani, kina uwezo wa kusindika tani 350 za matunda kwa siku, kimeajiri
karibu wafanyakazi 1,000 na uwekezaji wake umegharimu takribani Shilingi
Bilioni 261.
Akizungumza baada
ya kuzindua kiwanda hicho cha kwanza tangu aingie madarakani Rais Magufuli
amempongeza Mwenyekiti wa kampuni za Bakhresa Bw. Said Salim Bakhresa kwa
uwekezaji huo na amesema Serikali yake itamuunga mkono yeye na wawekezaji
wengine ambao wanazalisha ajira na kulipa kodi ipasavyo.
"Nawapenda
wafanyabiashara wanaolipa kodi, nawachukia wafanyabiashara ambao hawalipi kodi,
nawapenda wafanyabiashara wanaotengeneza ajira kwa watanzania, wewe
umetengeneza ajira za watanzania, na umeendelea kutengeneza ajira kule mjini
kwa wauza juisi na wengine, lakini pia unatengeneza ajira kwa wakulima.
Mtu akitengeneza
nanasi zake anajua kuna soko la kupeleka, mtu akilima maembe yake anajua kuna
soko la kupeleka" amesema Rais Magufuli.
Dkt. Magufuli
ametoa miezi miwili kwa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kupeleka
umeme katika kiwanda hicho ili kupunguza gharama za uzalishaji zinazosababishwa
na kutumia umeme unaozalishwa na majenereta.
Pia ameahidi kuzifanyia
kazi changamoto zilizotajwa na mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni za Bakhresa Bw.
Abubakar Said Salim Bakhresa zikiwemo kupatiwa gesi asilia kwa ajili ya
kuendeshea mitambo ya kusindika matunda na urasimu unaosababishwa na wingi wa
taasisi zinazodhibiti uzalishaji wa bidhaa.
Aidha, Rais
Magufuli ametoa wito kwa kampuni za Bakhresa kuwekeza katika uzalishaji wa
sukari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa bidhaa hiyo na amesema endapo
kampuni hiyo ipo tayari Serikali itatoa eneo la kuzalisha miwa na kujenga
kiwanda.
Mapema akitoa
taarifa juu ya hali ya viwanda katika mkoa wa Pwani, Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi
Evarist Ndikilo amesema pamoja na viwanda viwili vya kampuni za Bakhresa
vilivyopo Mkoani Pwani, Mkoa huo unavyo viwanda vingine 88 ambavyo vinazalisha
bidhaa na vingine vipo katika hatua mbalimbali za ujenzi, vikiwemo viwanda
viwili vikubwa Afrika Mashariki na Kati ambavyo ni kiwanda cha uzalishaji wa
vigae (Tiles) na kiwanda cha kuzalisha nondo na vyuma vya madaraja
vitakavyokamilika ifika Desemba mwaka huu.
Vingozi wengine
waliohudhuria uzinduzi huo ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.
Charles Mwijage, Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega na Katibu Mkuu wa
Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru.
Gerson
Msigwa
Mkurugenzi
wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es
Salaam
06 Oktoba,
2016
No comments:
Post a Comment