Wednesday, October 5, 2016

MKURUGENZI MTENDAJI WA CRDB ATEMBELEA TAWI LA MLIMANI CITY, ALA KEKI NA WATEJA WA TAWI HILO.Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza na  aibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay pamoja na Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Kilango (Hayupo Pichani). Walipotembelea tawi la Mlimani City ikiwa ni kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Kilango  akizungumza na aibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa walipotembelea katika Tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akionesha kikombe alichopewa katika tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akisalimiana na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akisaini baadhi ya fomu alipotembelea katika Tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo. 
 Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City akizungumza jijini Dar es Salaam leo  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay alipotembelea katika tawi la Mlimani City.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akishuhudia Mteja wa Muda Mrefu wa Tawi la Mlimani City, Mary Nderumaki akikata keki katika wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay  akimlisha keki Mteja wa mda mrefu, Mary Ndarumaki jijini Dar es Salaam leo.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay  akimlisha keki Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa leo katika Tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya wateja  wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakifungua shampein leo ikiwa ni Kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.

  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akilishwa keki na Mteja wa Benki hiyo Tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.

  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay  akiwalisha keki wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay  wakipiga chazi na wateja wa benki hiyo tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akitoa zawadi kwa wateja wa Tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City  wakiwa katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam leo.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.

No comments: