Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage(MB) akimkabidhi Tuzo ya Chapa bora Bi. Mercy Kitomary ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Nelwas Gelato katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na TPSF Mlimani city jijini Dar es Salaam Oktoba 7 2016. Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TPSF, Salum Shamte na Kaimu Mkurugenzi wa TBS, Dkt. Egid Mabofu. (Imeandaliwa na Robert Okanda blogs).
|
Makamu Mweyekiti wa TPSF, Salum Shamte akiongea kumkaribisha mgeni Rasmi, Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais kuzungumza, kuzindua kampeni ya Fahari ya Tanzania na kutoa Tuzo za Chapa bora 50 za Kitanzania kwa mwaka 2016.
|
Mshereheshaji, katika Uzinduzi wa Fahari ya Tanzania na Utoaji wa Tuzo za Chapa bora 50 za Kitanzania Bw. Taji Liundi akiwa mimbarini.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Superdoll Bw. Seif Seif akiwa na timu nzima ya wafanyakazi waandamizi wa Superdoll wakifuatilia kwa makini Shugjuli nzima ya Uzinduzi wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na utoaji wa Tuzo wa Chapa Bora 2016
|
Meza ya Washirika wakubwa CRDB Bank iliongozwa na Bi Tully Esther Mwambapa Mkurugenzi wa Utafiti,Masoko na Huduma kwa Kwa Wateja akiwa na timu yake wakifuatilia kwa makini Shughuli ya
|
Uzinduzi wa Kampeni wa Fahari ya Tanzania na Utoaji wa Tuzo wa Chapa bora 50 za Kitanzania
Meza Kuu: Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu (uwekezaji) Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage(MB) Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji , Mgeni Rasmi Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Makamu mwenyekiti wa TPSF Bw. Salum Shamte
Wakurugenzi wakuu wa Taasisi Mbalimbali Bw. Edwin Rutageruka Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Godfrey Simbeye wa TPSF, Bw. Hiiti Sillo Mkurugenzi wa TFDA wakiwa na Prof. Mpanduji Mkurugenzi Mkuu wa SIDO wakifuatilia Shughuli za uzinduzi wa Fahari ya Tanzania na utoaji Tuzo kwa Chapa bora 50 za Kitanzania
|
TBL Group wakiwa katika hafla hiyo wakifuatilia matukio muhimu katika uzinduzi wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania
|
Na utoaji wa tuzo kwa chapa bora 50 za kitanzania.
Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na Mratibu wa Tuzo za Chapa Bora 50 za Kitanzania Bw. Emmanuel C. Nnko akitoa Maelezo kuhusu Fahari ya Tanzania na Mchakato mzima wa Upatikanaji wa Chapa Bora 50 za Kitanzania katika hafla hiyo.
|
Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na Mratibu wa Tuzo za Chapa Bora 50 za Kitanzania Bw. Emmanuel C. Nnko akitoa Maelezo kuhusu Fahari ya Tanzania na Mchakato mzima wa Upatikanaji wa Chapa Bora 50 za Kitanzania katika hafla hiyo
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa tuzo hizo ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF)
|
Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na Mratibu wa Tuzo za Chapa Bora 50 za Kitanzania Bw. Emmanuel C. Nnko akiwa na Meneja Miradi TPSF Bi. Jane Gonsalves katika hafla hiyo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage naye akisaidiana na mgeni Rasmi katika uzinduzi wa tuzo hizo.
|
Mgeni rasmi, Mama Samia Suluhu Hassan akifurahi jambo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na Viongozi wengine baada ya Uzinduzi wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania uliofanyika katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na TPSF Mlimani city jijini Dar es Salaam Oktoba 7 2016.
|
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akikabidhi vyeti vya shukrani kwa Bi. Jane Gonsalves kutoka TPSF .
|
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akikabidhi Tuzo na cheti Kwa Mwakilishi wa Moja ya washindi wa chapa bora 50 za Kitanzania .
|
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akikabidhi Tuzo na cheti Kwa Mwakilishi wa Moja ya washindi wa chapa bora 50 za Kitanzania.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akikabidhi Tuzo na cheti Kwa Mwakilishi wa Moja ya washindi wa chapa bora 50 za Kitanzania

Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti cha shukrani kwa Mkurugenzi wa Masoko na Huduma Kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully-Esther Mwambapa ambao ndio wadhamini Wakuu wa hafla hiyo.
|
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti cha shukrani kwa wadhamini wengine.
|
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ngao ya shukrani kwa Mratibu wa Tuzo za Chapa bora 50 za Kitanzania na Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania Bw. Emmanuel C. Nnko
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ngao ya shukrani kwa Mratibu wa Tuzo za Chapa bora 50 za Kitanzania na Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania Bw. Emmanuel C. Nnko |
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ngao ya shukrani kwa Mratibu mwenza wa Tuzo za Chapa bora 50 za Kitanzania Bi. Jane Gonsalves |
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti cha shukrani kwa meneja wa uhamasishaji tuzo hizo Martha Luleka.
|
|
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akikabidhi Tuzo na cheti Kwa Mwakilishi wa Moja ya washindi wa chapa bora 50 za Kitanzania.
|
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti cha shukrani kwa wadhamini wengine.
|
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti cha shukrani kwa wadhamini wengine.
|
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti cha shukrani kwa Dkt. Ellen Otaru mmoja wa majaji wa tuzo hizo.
|
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage wakiwa katika picha ya pamoja na waadaji, wadhamini, na washindi wa tuzo hizo. Kushoto (kwake) Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa TSPF, Godfrey Simbeye (kushoto) na viongozi wengine.
|
Mkurugenzi wa Masoko na Huduma Kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully-Esther Mwambapa ambao ndio wadhamini Wakuu akitoa neno la shukrani na kuwakaribisha wageni kwa chakula.
|
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja waandaaji wa hafla hiyo
|
No comments:
Post a Comment