Mkurugenzi
wa Huduma za Sheria kwa Umma Bw. Justus Mulokozi akifungua kongamano la
Kitaifa la Haki ya Afya ya Uzazi katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya
New Africa jijini Dar es salaam ambapo wadau mbalimbali wamehudhuria
katika kongamano hilo wakiwemo Wanasheria , Wanasiasa, Wanafunzi
Waandishi wa habari pamoja na waalikwa mbalimbali.
Mkurugenzi
wa Chama cha Wanasheria Wanawake TAWLA Bi. Tike Mwambipile akizungumza
katika kongamano hilo wakati alipokuwa akifafanua mambo mbalimbali
kuhusu Haki ya Afya ya Uzazi.
Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mama Anne Makinda
akiwa katika kongamano hilo pamoja na washiriki wengine kutoka kulia ni
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria kwa Umma Bw. Justus Mulokozi, Mwenyekiti
wa TAWLA Bi. Attanasia Soka na Jaji Winnie Korosso.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) Bi. Attanasia Soka na Jaji
Winnie Korosso akimkaribisha mgeni rasmi ili kufungua kongamano hilo.
Baadhi ya wanasheria wanawake na wageni waalikwa kutoka taasisi mbalimbali wakiwa katika kongamano hilo.
Kutoka
kulia Mgeni rasmi katika Kongamano hilo Mkurugenzi wa Huduma za Sheria
kwa Umma Bw. Justus Mulokozi, akiwa na Mkurugenzi wa TAWLA Bi. Tike
Mwambipile na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Pindi Chana.
Watoa mada wa kongamano hilo wakifuatilia kongamano hilo.
Baadhi
ya wadau mbalimbali katika picha tofauti wakionekana kufuatilia na
kuandika mambo muhimu yanayojadiliwa katika kongamano hilo.
Mkurugenzi
wa Chama cha Wanasheria Wanawake TAWLA Bi Tike Mwambipile akiwa katika
picha ya pamoja na Nasieki Kisambu Kutoka TAWLA na Salome Argan Mtoa
mada wa Kongamano hilo kutoka Legal Advicer For Africa Center for
Reproductive Rights.
Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake TAWLA Bi Tike Mwambipile akifurahia jambo na Jaji Winnie Korosso.
No comments:
Post a Comment