Ziafuatazo
ni picha za hafla mchapalo (Cocktail Party) ya kukata na shoka ya
kusheherekea miaka 71 ya Umoja wa Mataifa tangu ulipoanzishwa
iliyofanyika nyumbani kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa
na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez jijini
Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na kuhudhuriwa na wageni
mbalimbali mashuhuri kutoka taasisi mbalimbali za serikali, binafsi
pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akitoa salamu za Umoja wa Mataifa
katika hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 71 ya umoja huo tangu
kuanzishwa kwake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo
pichani) kuzungumza na wageni waalikwa.
Mgeni
rasmi Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni akizungumza kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 71 ya Umoja wa
Mataifa iliyofanyika nyumbani kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa
Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez
(kulia) jijini Dar es Salaam.

Masauni na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi
wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez wakigonga 'cheers' ya
kutakiana kheri na afya njema katika hafla mchapalo ya kusheherekea
miaka 71 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika Oktoba 24, 2016 jijini Dar es
Salaam.

wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez baada ya kugonga glass.
Shamra shamra za miaka 71 ya Umoja wa Mataifa zikiendelea jukwaa kuu.

Masauni (katikati), Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (kulia)
pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Wizara ya
Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Celestine Mushy
(kushoto) wakitazama 'documentary' fupi kwenye hafla hiyo.

Masauni (katikati) akibadilishana mawazo na Mratibu Mkazi wa Mashirika
ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro
Rodriguez (kulia) pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu
Yoshida.
MC
wa hafla mchapalo ya miaka 71 ya Umoja wa Mataifa, Edgar Kiliba kutoka
ofisi ya Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiendesha hafla hiyo.
Wafanyakazi
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa wakibadilishana mawazo Anthony
Rutabanzibwa (kushoto) na Amon Manyama katika hafla hiyo.
Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa
Dabo (katikati) kwenye hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 71 ya Umoja
wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez katika picha ya pamoja na Mkurugenzi
wa Emslies Travel Ltd. Jaffer Hirji (kushoto) wakati wa hafla mchapalo
ya kusheherekea miaka 71 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.
Baadhi ya wageni waalikwa na waheshimiwa mabalozi wakibadilishana mawazo kwenye hafla hiyo.
Mtaalamu
wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Hoyce Temu (kulia)
akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake na wageni waalikwa kwenye hafla
hiyo.
Picha juu na chini ni baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa.
Nguse
Nyerere akiwa na baadhi ya Maafisa wenzake wa Wizara ya Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla mchapalo ya kusheherekea
miaka 71 ya Umoja wa Mataifa.
Edgar
Kiliba (katikati) wa ofisi ya Mkuu wa Umoja wa Mataifa akibadilishana
mawazo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla mchapalo ya
kusheherekea miaka 71 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika Oktoba 24, 2016
jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika picha ya pamoja.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Edgar Kiliba na Beatrice Mkiramweni katika picha ya pamoja.
Baadhi ya madereva wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa katika picha ya pamoja kwenye hafla hiyo.

Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez katika picha ya pamoja na Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula (Mb)
katika hafla ya kushehereka miaka 71 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika
Oktoba 24, 2016 jijini Dar es Salaam.
Geofrey Adroph
BLOGGER
P.O.BOX 24793,
Mob: +255 755 274953 /+255 713 363965,
Email: pamojapure@gmail.com.
Blog: http://www.pamoja.co.tz/
DAR ES SALAAM, TANZANIA
2016-10-26 14:30 GMT+03:00 Zainul Mzige

No comments:
Post a Comment