Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na kupitia kifungu kwa kifungu katika Muswada huo leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika kikao cha majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara yake leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson (kushoto) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara husika leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati hiyo na Wizara husika leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO
No comments:
Post a Comment