Thursday, September 1, 2016

YALIYOJIRI KATIKA ENEO LA LUDEWA MKOANI MBEYA.

 Ulinzi na usalama uliimalishwa  katika eneo la Kupatwa kwa jua Ludewa Mkoani Mbeya.
Wakazi wa Ludewa Mkoani Mbeya na Biashara mbalimbali wakifanya biashara ya Matikiti katika eneo la Ludewa Mkoani humo.
 Wananchi wakiwa wameegesha Baiskeli zao mara baada kuwasili eneo ambapo jua linaoneka vizuri ambapo limepatwa.
 Wafanyabiashara wakiwa na biashara zao.

 Wananchi wakiwa wamefurika eneo la tukio. 
 Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakiwa katika eneo ambapo jua linaonekana vizuri.
Waendesha Pikipiki wakiwa wameegesha bodaboda zao eneo la Ludewa.
Mamalishe wakiwahudumia wananchi mbalimbali waliojitokeza kuona kupatwa kwa jua ludewa Mkoani Mbeya.
 Wananchi mbalimbali wakipata chakula Ludewa. 
  
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akiwa katika eneo lake na kujionea kupatwa kwa jua Ludewa Mkoani Pwani.

No comments: