Monday, September 12, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA SWALA YA IDD EL HAJJ VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika na waumini wengine wa kiislam katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na waumini wengine wa kiislam wakisikiliza maswaidha wakati wa swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Hajj 
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.


Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.

No comments: