Friday, September 23, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI


SIMU.TV; Ofisi ya makamu wa rais inayoshughulikia muungano na mazingira imesema imeanza kufanya tathimini ya uharibifu uliosababishwa na tetemeko la ardhi.https://youtu.be/Y-BdlHArF7o

SIMU.TV; Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa azitembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Kagera kujionea athari zilizosababishwa na tetemeko la ardhi.https://youtu.be/15QNFS4sW4c

SIMU.TV; Kamati ya utendaji ya baraza la taifa la biashara lajipanga kuboresha mazingiara ya biashara ili kuendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa viwanda.https://youtu.be/YwcB7Mzinc0

SIMU.TV; Watanzania wenye sifa za kuchangia damu wameaswa kujitokeza ili kuchangia damu na kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji damu. https://youtu.be/7hAZelTFp7I

SIMU.TV; Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya utalii duniani inayoadhimishwa kila ifikapo September 27 kila mwaka.https://youtu.be/oAQ6aVhhXtM

SIMU.TV; Mkuu wa mkoa wa Kigoma awataka viongozi wa serikali mkoani humo kufanya ukaguzi katika maeneo yanayonufaika na fedha za TASAF ili kuepusha ubadhirifu.https://youtu.be/wbe2PYk_PuQ

SIMU.TV; Wananchi wapatiwa mafunzo ya ujasiriamali na asasi ya kiraia ya Namaingo Bussness Agency ili kuwaamsha wananchi kushiriki katika miradi yenye kuwaletea maendeleo. https://youtu.be/p2UTWhuTccA

SIMU.TV; Kuelekea mchezo kati ya timu ya Simba na Yanga utakao chezwa Oktoba mosi makocha wa timu zote mbili wameendelea kujituma katika kuziandaa timu zao.https://youtu.be/snk96znuTV8

SIMU.TV; Jumla ya vijana kumi na nane wanatarajiwa kushiriki katika shindano la kuigiza sauti kesho lililoandaliwa na kampuni ya Startimes. https://youtu.be/BNQd-p7A_dY

SIMU.TV; Timu ya soka ya Mwanza veteran inatarajia kucheza na Bukoba veteran ili kuweza kuchangia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.https://youtu.be/2hX8aaDNVu8

SIMU.TV; Nahodha wa klabu ya Chelsea John Terry atakua nje kesho kwenye mchezo dhidi ya Arsenal kutokana na maumivu ya kifundo cha mguu. https://youtu.be/2Letko0p9es

No comments: