Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(wanne kulia) akifafanua jambo kwa washiriki wa shindano la Dance 100% 2016 wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania zilizopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma mbalimbali za mawasiliano zinazofanywa na kampuni. Washiriki hao walipata nafasi ya kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi iliwaweze kujituma wakati wa fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola.
Washiriki wa shindano la Dance 100% 2016 wakimsikiliza Meneja wa Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Msamo Willnevilline(kulia) alipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi ili waweze kujituma wakati wa fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola, watatu kutoka kuliani Meneja Msaidizi wa Chapa ya Coca-cola, Mariam Sezinga.
Mmoja wa washiriki wa shindano la Dance 100% 2016,akionyesha umahiri wa kucheza wakati washiriki hao walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi kuelekea fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola.
Baadhi ya vijana wanaoshiriki katika shindano la Dance 100% 2016 wakimskiliza mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Neema Kisanga(kushoto)alipokuwa akiwapa nasaha za maisha wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi kuelekea fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola.
Meneja Msaidizi wa Chapa ya Coca-cola, Mariam Sezinga(katikati)akiwa na washiriki wa shindano la Dance 100% 2016,wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi kuelekea fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola
No comments:
Post a Comment