Tuesday, September 6, 2016

Makame Faki vocals, Rajab Suleiman Ganun Kutumbuiza Washington, Mareikani


Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Tarabu kundi zima la Makame Faki vocals, Rajab Suleiman Ganun Ndani ya Washington. Kutakua na Show ya Taarabu kutoka Zanzibar wamekuja kupiga muziki chini ya mualiko wa Serikali ya Marekani.Taarab  leo Jumanne 9/6/2016  itaaza rasmi  6:00 PM,  juu ya alama Watatumbuiza kwa Saa limoja tu, maana kuna show nyingi za zitakua zinaendelea.
Mahali watakapotumbuiza
The John F. Kennedy Center for the Performing Arts
2700 F Street, NW Washington, DC 20566
They perform on the Millenium Stage.
KINGILIO BUREE
Fika mapema ili kuunga mkono ndugu zetu kutoka Zanzibar
@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@
Rajab Suleiman and Kithara
Tuesday, 9/6/2016
6:00 PM
The John F. Kennedy Center for the Performing Arts
2700 F Street, NW Washington, DC 20566
They perform on the Millenium Stage.
Rajab Suleiman and Kithara uncovers the tradition’s essential origins of Zanzibar-based tarrab music, renowned for its lush mix of Arabic and western instruments, diva-worthy vocalizations, and allusive Swahili lyrics. Kithara is touring the U.S. as part of Center Stage, a program of the U.S. Department of State’s Bureau of Educational and Cultural Affairs, in partnership with the New England Foundation for the Arts.
The website is here: http://www.kennedy-center.org/video/upcoming (though you have to scroll down to see it.)
Please share with the Zanzibari community nearby!

No comments: