Saturday, August 13, 2016

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO August 13, 2016.

Makamu wa Rais Samia Suluhu awataka watanzania kuunga juhudi zinazofanywa na serikali katika   kupambana na ufisadi nchini; https://youtu.be/qqlmMBwNepw 
Serikali yasma haitamlipa mtu yeyote atakayekata miti ya Kivuli kupisha utekelezaji wa mradi wa umeme vijijini  REA; https://youtu.be/A65YN_ZHlbY 
Wafugaji wa kata ya Makutuopora waiomba serikali kuingilia kati mgogoro uliopo baina yao na JKT; https://youtu.be/oa-jzPv9KuY 
Waziri wa katiba Mhe. Harrison Mwakyembe  aingilia  kati mgogoro  wa mradi wa maji safi wa Busokelo unaotokana na wananchi kudai fidia . https://youtu.be/vTXSRfXfPr0 
Serikali wilayani Tunduru yafuta vibali vya wanunuzi wote wa mazao mchanganyiko kutokana na wanunuzi hao kutumia vibali hivyo kinyume na utaratibu;https://youtu.be/PD8XjDzAWUw 
Vyombo vya dola vyapewa wiki mbili kuwatafuta wafugaji wanaowatishia wafanyakazi wa shirika la reli Tanzania TRL; https://youtu.be/0QhttEQi-5o 
Mwenyekiti wa bodi ya misamaha ya wafungwa PAROLE, Augustino Mrema awaasa vijana kutojihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya; https://youtu.be/nYqGRuCg_OU 
Fuatilia makala maalum kuhusu Mzee wa kimasai aliyeanzisha shule kwa ajili ya watoto na wajukuu wake; https://youtu.be/OIDoxPKLujU 
Klabu ya Yanga yaitungua  klabu ya Mo Bejaia goli 1 kwa 0 katika mchezo wake wa kuwania nusu fainali ya kombe la shirikisho Afrika; https://youtu.be/AdbwXPEb_us 
Shirikisho la soka duniani FIFA lafungua mtandao wa usajili TMS kwa vilabu vya Tanzania vilivyoshindwa kutuma majina ya wachezaji wake; https://youtu.be/Vw4iYHQkWmg 
Klabu ya Hull City yaitungua Leicester City kwa jumla ya goli 2-1 kwa mchezo wa ligi kuu soka  ya nchini UingerezaL; https://youtu.be/EKiiyOFi5Yo 
Mahakama kuu  ya Mtwara imetoa uamuzi wa kesi ya uchaguzi  na kutupilia mbali maombi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kilwa:https://youtu.be/0MvME60hAnc 
Walimu wa shule ya muhimbili  wanalazimika kufanyia shughuli zao chini ya mti kutokana na ukosefu wa  ofisi  ya walimu na madarasa: https://youtu.be/vIw9oTPPZ-M 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya amelazimika kuingilia kati mgogoro kati ya wananchi wa kijiji cha Ndaga na chama cha mapinduzi wakigombea ofisi ya kijiji:https://youtu.be/ueQfFxWC6m8 
Manispaa ya Kinondoni imewashauri wananchi wote wenye kesi za ardhi waende manispaa ili waweze kuzimaliza kesi zao kwa majadiliano: https://youtu.be/l1vhMia8WPw 
Wawakilishi wa Tanzania katika kombe la Shirikisho Yanga wamerejesha matumaini kwa kuitwanga timu ya Mo Bajaia goli moja kwa sifuri; https://youtu.be/jg7CTalyuSI
 Wasanii wa sanaa ya maigizo katika halmashauri ya wilaya ya Iringa wameiyomba jamii kuunga mkono kazi zao ili kuongeza kipato: https://youtu.be/ky-azH5_StU 
Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa Mhe. Hussein Mwinyi aamuru kupimwa upya kwa ardhi ya eneo la JWTZ na eneo la Visakasaka; https://youtu.be/QngYiBGEHks 
Mwenyekiti wa taifa wa bodi ya PAROLE Mhe. Mrema amewataka vijana kuepuka uhalifu ili kupunguza msongamano magerezani; https://youtu.be/949lbl67Dhk 
Zaidi ya Sh. Mil. 2 zimetengwa na mbunge wa jimbo la Mpendae kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa jimbo hilo ili waweze kuanzisha vikundi vya ujasiliamali;https://youtu.be/BnSDoV9a3YE 
Hii hapa mikakati ya wizara ya mambo ya ndani katika kuhakikisha ajali za barabarani nchini zinapungua; https://youtu.be/fFEOrZQEdFs

No comments: