Mkurugenzi
wa Taasisi ya Kimataifa ya Kupambana na Trakoma (ITI) akizungumza na washiriki
wa mkutano wa
pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya
ugonjwa wa Trakoma kuhusu uendelezaji wa juhudi za
kuwaelimisha wananchi na kutoa tiba katika maeneo yanakabiliwa na ugonjwa Trakoma kwa nchi
washiriki wa mkutano huo kutoka Kenya, Tanzania, Uganda, Ethiopia, Eritrea,
Sudani na Sudani Kusini.

Mganga
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dkt. Frida Mokiti akichangia wakati wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za
Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini
Arusha.
Mshiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma Kutoka nchini Kenya Dkt. Rebecca Oenga akitoa uzoefu wa nchi ya Kenya
katika kukabiliana na Trakoma kwenye
maeneo ya mipakani ya jamii za wafugaji.
Afisa Afya kutoka Kaunti ya NAROK
nchini Kenya Daniel Sironka akitoa mchango wake kuhusu namna anavyowaelimisha
wananchi wa eneo lake kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma wakati wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo
katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Miradi wa Shirika la Sightsavers,
Michael Kelly (katikati) akisisitiza jambo kuhusu ushiriki wa Sightsavers
katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma wakati wa mkutano
wa
pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki
zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini Arusha.
Washiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Arusha.
Washiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Arusha.
Washiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano kabla ya kuwasilisha taarifa
ya pamoja kuhusu maeneo ya utekelezaji katika mapambano dhidi ya Trakoma.
Picha/Aron Msigwa –MAELEZO.
No comments:
Post a Comment