Thursday, August 25, 2016

 -   Afisa wa TTCL, Diana Obed  akitoa maelezo ya bidhaa ya TTCL 4G  kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura   na Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Clarence Ichwekeleza katika Mkutano wa kwanza wa TEHAMA ambao umeandaliwa na Tume mpya ya Teknolojia Habari na Mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
 Mshiriki wa  Mkutano wa TEHAMA akipata maelezo ya huduma ya 4G LTE kutoka kwa Afisa wa TTCL
Washiriki wa  Mkutano wa TEHAMA wakipata maelezo ya huduma ya 4G LTE kutoka kwa  Afisa wa TTCL
 Washiriki wa  Mkutano wa TEHAMA wakipata maelezo ya huduma ya TEHAMA na mawasiliano ya simu zitolewazo na kampuni kutoka kwa Maafisa wa TTCL.
Mshiriki wa  Mkutano wa TEHAMA akipata maelezo ya huduma za TTCL
    
 Washiriki wa mkutano wakinunua laini za 4G  LTE katika mkutano huo
 
Washiriki wakipata maelezo ya TTCL 
 Washiriki wa mkutano wakinunua laini za 4G  LTE katika mkutano wa TEHAMA,
 
 Washiriki wa mkutano wakinunua laini za 4G  LTE katika mkutano huo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura akizungumza na mshiriki wa mkutano wa TEHAMA, uliofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere 

No comments: