Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni
mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni
akisaini kitabu kabla ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho
kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Watu wa Korea hapa nchini Kim Yong Su
mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea hapa
nchini Kim Yong Su mara baada ya kupokea Hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Balozi wa Somalia hapa nchini Mohammed Hassan Abdi
mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati
zake za Utambulisho.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Somalia hapa nchini Mohammed Hassan Abdi mara
baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ireland hapa nchini
Paul Sherlock Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock mara baada ya
kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana
jambo na Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock mara
baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock
mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment