Mratibu
wa Mashindano ya Mpinga Cup 2016 , A.S.P Mbunja Matibu, akikagua timu za kundi
B zinazoshiriki kwenye Michuano hiyo, kwa Madereva wa Bodaboda, yaliyofanyika kwenye
uwanja wa Magereza Ukonga mwishoni mwa Wiki iliyopita, Lengo kuu la Mashindano
hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).(
Mkaguzi
wa Polisi Hamisi Membe akifundisha waendesha pikipiki (Bodaboda), kuhusu Alama za
Usalama Barabarani, wakati wamashindano ya Mpinga Cup 2016 yanayoshirikisha Madereva
wa Bodaboda, yaliyofanyika kwenye uwanja waMagerezaUkongamwishoni mwajuma, Lengo
kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha
Pikipiki (Boda boda).(
Mrakibu
wa Polisi Methew Msuyale (kushoto) akikabidhi Fulana kwa kiongozi wa timu
mojawapo zilizoshiriki kwenye hatua ya Mtoano kutoka kundi B kwenye ya Mpinga
Cup 2016, iliyochezwa kwenye uwanja wa Magereza Ukonga Mwishoni mwa wiki
iliyopita. Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani
kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda),
Mrakibu wa Polisi Methew Msuyale (kushoto) akikabidhi Fulana kwa kiongozi wa timu mojawapo zilizoshiriki kwenye hatua ya Mtoano kutoka kundi B kwenye ya Mpinga Cup 2016, iliyochezwa kwenye uwanja wa Magereza Ukonga Mwishoni mwa wiki iliyopita. Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda),
Sajenti
Muhidini Mohamed, mmoja wa wakaguzi wa mashindano ya Mpinga Cup 2016 , akikagua
moja ya timu za kundi B zinazoshiriki kwenye michuano ya Mpinga Cup 2016,
mashindano ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Magereza Ukonga mwishoni mwa
wiki iliyopita, Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama
Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).(
Sajini
Meja Bahati Nzunda(kulia) Akikabidhi Zawadi ya Mpira kwa Moja ya Timu
zilizoibuka washindi wakati wa michezo ya kundi B hatua ya Mtoano ambayo
washindi wote wanapatiwa Mpira kwa ajili ya kufanya Maandalizi katika hatua ya
Pili. Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa
Waendesha Pikipiki (Boda boda).
Mratibu
wa Mashindano ya Mpinga Cup 2016 , A.S.P Mbunja Matibu, (kushoto) na Mkaguzi wa
Polisi Flora Nangawe, wakitoa Elimu ya Usalama barabarani kwa njia ya
Vipeperushi kwa Boda boda. Kupitia mashindano ya Mpinga Cup yaliyofanyika
kwenye uwanja wa Magereza Ukonga mwishoni mwa Wiki iliyopita, Lengo kuu la
Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki
(Boda boda).(

Mwalimu
wa Elimu ya Usalama Barabarani Koplo Faustina Ndunguru (kulia) Akikabidhi
Zawadi ya Mpira kwa Moja ya Timu zilizoibuka washindi wakati wa michezo ya
kundi B hatua ya Mtoano ambayo washindi wote wanapatiwa Mpira kwa ajili ya
kufanya Maandalizi katika hatua ya Pili. Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa
elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).
Mratibu
wa Mashindano ya Mpinga Cup 2016 , A.S.P Mbunja Matibu, akikagua timu za kundi
B zinazoshiriki kwenye Michuano hiyo, kwa Madereva wa Bodaboda, yaliyofanyika
kwenye uwanja wa Magereza Ukonga mwishoni mwa Wiki iliyopita, Lengo kuu la
Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki
(Boda boda).(
Polisi Konstebo Mohamed wa Traffic Kuu
(kulia) Akikabidhi Zawadi ya Mpira kwa Moja ya Timu zilizoibuka washindi wakati
wa michezo ya kundi B hatua ya Mtoano ambayo washindi wote wanapatiwa Mpira kwa
ajili ya kufanya Maandalizi katika hatua ya Pili. Lengo kuu la Mashindano hayo
ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda),
Aliyesimama katikati ni Mkaguzi wa Polisi Flora Nangawe
Mratibu
wa Mashindano ya Mpinga Cup 2016 , A.S.P Mbunja Matibu, akiwasisistiza
waendesha Pikipiki (Boda boda) kuzifuata na kuzingatia Sheria za Usalama
Barabarani wakati wa Mashindano ya Mpinga Cup 2016 yaliyofanyika kwenye uwanja
wa Magereza Ukonga mwishoni mwa Wiki iliyopita, Lengo kuu la Mashindano hayo ni
kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).(
Kiongozi
akitambulisha wachezaji wa timu mojawapo ya Bodaboda kwa Mratibu wa Mashindano
ya Mpinga Cup 2016 , A.S.P Mbunja Matibu, kwa Madereva wa Bodaboda,
yaliyofanyika kwenye uwanja wa Magereza Ukonga mwishoni mwa Wiki iliyopita, Lengo
kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha
Pikipiki (Boda boda).(
Sajenti
Muhidini Mohamed, mmoja wa wakaguzi wa mashindano ya Mpinga Cup 2016 ,
akikabidhi Zawadi ya Mpira na Furana kwa
timu za kundi B zinazoshiriki kwenye michuano ya Mpinga Cup 2016,
mashindano ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Magereza Ukonga mwishoni mwa
wiki iliyopita, Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama
Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).(
Mawashabiki
ambao ni Waendesha Pikipiki, wakishangilia katika Bango la Mashindano ya Mpinga
Cup baada ya Kuibuka Washindi wa mechi za mtoano na kujipatia zawadi ya Mpira
kutoka kwa Waandaaji Traffic Kuu Dar es Salaam. Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya
Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).(

wa Polisi Hamisi Membe akikagua timu ya waendesha pikipiki (Bodaboda), wakati
wamashindano ya Mpinga Cup 2016 yanayoshirikisha Madereva wa Bodaboda,
yaliyofanyika kwenye uwanja wa Magereza Ukonga mwishoni mwa wiki iliyopita.
Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha
Pikipiki (Boda boda).(
Timu
ya Mpira wa Miguu ya Kituo Kipya (A) F.c ya Gongolamboto, (Waendesha Boda boda)
inayoshiriki michuano ya Mpinga Cup 2016 kutoka kituo cha kundi B, wakipiga
picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuingia Uwanjani kuchuana na wenzao wa
kituo Kipya (B) michezo hiyo imefanyika kwenye uwanja wa Magereza Ukonga
mwishoni mwa wiki iliyopita. Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya
Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).
Mrakibu
wa Polisi Methew Msuyale (kulia) akikabidhi Mpira kwa kiongozi wa timu mojawapo
zilizoshiriki kwenye hatua ya Mtoano kutoka kundi B kwenye Michzo ya Mpinga Cup
2016, iliyochezwa kwenye uwanja wa Magereza Ukonga Mwishoni mwa wiki iliyopita.
Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha
Pikipiki (Boda boda),

wa Polisi Flora Nangawe (kulia) akikabidhi Mpira kwa kiongozi wa timu mojawapo
zilizoshiriki kwenye hatua ya Mtoano kutoka kundi B kwenye Michzo ya Mpinga Cup
2016, iliyochezwa kwenye uwanja wa Magereza Ukonga Mwishoni mwa wiki iliyopita.
Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha
Pikipiki (Boda boda),
Kamanda
wa Kikosi cha Usalama Barabarani (T) DCP Mohammed Mpinga akiwataka na
kuwaelimisha waendesha pikipiki (Boda Boda) kuzingatia, kuzifuata na
kuziheshimu Sheria za Usalama Barabarani ili kuweza kupunguza wimbi la ajali za
waendesha Pikipiki hapa nchini. Kupitia mashindano ya Mpinga Cup 2016
inayohusisha waendesha Pikipiki Mkoani Ilala, Dar es Salaam, Lengo kuu la
Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki
(Boda boda).(
Kamanda
wa Kikosi cha Usalama Barabarani (T) DCP Mohammed Mpinga akikagua timu katika mashindano ya Mpinga Cup 2016
inayohusisha waendesha Pikipiki Mkoani Ilala, Dar es Salaam, Lengo kuu la
Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki
(Boda boda).
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani (T) DCP Mohammed Mpinga akikagua timu katika mashindano ya Mpinga Cup 2016 inayohusisha waendesha Pikipiki Mkoani Ilala, Dar es Salaam, Lengo kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki (Boda boda).
Kamanda
wa Kikosi cha Usalama Barabarani (T) DCP Mohammed Mpinga akiwataka na
kuwaelimisha waendesha pikipiki (Boda Boda) kuzingatia, kuzifuata na
kuziheshimu Sheria za Usalama Barabarani ili kuweza kupunguza wimbi la ajali za
waendesha Pikipiki hapa nchini. Kupitia mashindano ya Mpinga Cup 2016
inayohusisha waendesha Pikipiki Mkoani Ilala, Dar es Salaam, Lengo kuu la
Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha Pikipiki
(Boda boda).(
Mkaguzi
wa Polisi Hamisi Membe akifundisha waendesha pikipiki (Bodaboda), kuhusu Alama za
Usalama Barabarani, wakati wamashindano ya Mpinga Cup 2016 yanayoshirikisha Madereva
wa Bodaboda, yaliyofanyika kwenye uwanja waMagerezaUkongamwishoni mwajuma, Lengo
kuu la Mashindano hayo ni kutoa elimu ya Usalama Barabarani kwa Waendesha
Pikipiki (Boda boda).(
No comments:
Post a Comment