Tuesday, August 9, 2016

MAURINE AYUBU NDIO MSHINDI WA SHINDANO LA MISS KANDA YA KASKAZINI

mshindi wa Miss kanda ya kaskazini Maurine Ayubu akiwa anapunga mara baada yakutangazwa kuwa mrembo wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa pili Glory Stephen huku wa tatu akiwa ni Eligiver Mwasha warembo wote hawa wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss Tanzania


mmiliki wa blog ya libeneke la kaskazini akiwa na wanamuziki wa bendi ya Fm Academia katika onyesho hilo



wa tatu kulia ni dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge nae aliuthuria katika onyesho hilo la kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini



wazee wa gwasuma wakiwa kazini










dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge akiwa anaongea na washabiki waliuthuria ikiwa ni pamoja na kuwakaribisha katika shindano la kumsaka mrembo wa kanda ya ziwa (miss kanda ya ziwa ) ambalo linatarajiwa kufanyika mapema mwezi wa tisa mwaka huu(PICHA ZOTE NA WOINDE SHIZZA,ARUSHA)







Mwandaaji wa shindano hilo wa kwanza kulia akiwa ana show love na a shabiki wake 







Meneja wa mkoa wa Arusha kampuni ya Bima ya Britam naye aliuthuria katika show hiyo ya kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini




























wasani wa muziki wa kufokafoka nao waliuthuria usiku huu wa kumsaka mrembo wa kanda yakaskazini



mweyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha naye aliuthuria katika show hiyo





















hawa ndio majaji waliokuwepo siku hiyo
Muaandaaji wa shindano hilo Faustine Mwandago akiwa na warembo walioingia walishinda siku hiyo
Rais wa Bendi ya FM Academia (wazee wa Gwasuma ) akiwa anaonyesha mambo yake ndani ya onyesho hilo
wa kwanza kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya GEO Security ambaye pia ni mthamini wa shindano hilo akifuatilia show ya Fm Academia
wakurugenzi wa hotel ya Clous View ambao nao ni wathamini wa shindano hili wakifuatilia shindano halisi
Hawa ndio warembo wote 12 walioshirki shindano la kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini katika ukumbi wa Triple A arusha

No comments: