Tuesday, July 12, 2016

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO

SIMU.tv: Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu anayefahamika kwa jina la Zakaria Benjamin anaedaiwa kuwa daktari feki; https://youtu.be/h9wXEVEaGAY
SIMU.tv: Serikali ya Mapinduzi visiwani Zanzibar yatoa wito kwa wamiliki wa migahawa kushirikiana na serikali katika kutokomeza ugonjwa wa Kipindupindu; https://youtu.be/5TDfROqtmKA
SIMU.tv: Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole aahidi kusimamia suala la ulinzi na usalama kwa wananchi wa Ubungo; https://youtu.be/IKu7b1xyiUk
SIMU.tv: Serikali yawaagiza viongozi wa wa wilaya kuhakikisha barabara zinazosimamiwa na halmshauri zinajengwa kwa kiwango bora; https://youtu.be/k2nAdu1WZvg
SIMU.tv: Serikali yawataka mahakimu wa mikoa, wilaya kushughulikia matatizo ya kisheria yanayowakabili wananchi ili kujenga imani kwa wananchi; https://youtu.be/rcrO9HBRna0
SIMU.tv: Tume ya uchaguzi NEC mkoa wa Tabora yakabidhi taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tabora; https://youtu.be/6k37IzzDT1I
SIMU.tv: Kiongozi wa Mwenge George Jackson Mbijima  awataka watanzania kuendelea kujivunia uwepo wa mwenge wa Uhuru; https://youtu.be/KcSL_eX4a-A
SIMU.tv: Rais wa Zanzibar Dkt. Shein asema Zanzibar inawezapiga hatua kuwa katika tasnia ya filamu kutokana na historia yake katika tasnia ya filamu; https://youtu.be/KwO6BFjjrMA
SIMU.tv: Je wajua rasilimali muhimu zilizopo katika mkoa mpya wa Songwe? Ungana na Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akujuze mengi; https://youtu.be/R3uj5GMfIN0
SIMU.tv: Je ni nini sababu za mwamko wa watanzania kusoma nje ya nchi? Ungana na wachambuzi wako mahiri upate kujua zaidi; https://youtu.be/55LOwmGoqhU
SIMU.tv: Wawakilishi pekee wa Tanzania   katika mashindano ya kimataifa ngazi ya vilabu Yanga  wanaendelea na mazoezi ya kombe la shirikisho barani Afrika: https://youtu.be/BnME3glL6uI
SIMU.tv: Naibu waziri wa habari sanaa,utamaduni na michezo ameuagiza uongozi wa mkoa wa  Tanga kutenga maeneo kwa ajili ya wasanii na wanamichezo: https://youtu.be/c8XUji4PeZI
SIMU.tv: Wasanii waombwa kuchangamikia fursa ya kuomba fedha zitakazotolewa na shirika la British Council  ili  kueneza sanaa katika ukanda wa Afrika mashariki: https://youtu.be/NPn-kPv9_KE
SIMU.tv: Kiapo cha uadilifu wa viongozi wa umma kwa wakurugenzi wa halmashauri, manispaa na wilayahttps://youtu.be/mSlDc17xTLQ
SIMU.tv: Hotuba ya waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Angela Kairuki awataka wakurugenzi wapya maadili ya mtumishi wa umma na kutekeleza vilivyo Irani ya Chama Cha Mapinduzi  na kusimiamia suala la watumishi hewa.https://youtu.be/HVf6SWTordA

No comments: