Saturday, July 2, 2016

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 2, 2016.

Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro imesema watalii wanaokuja kutalii wameshindwa kufanya utalii kutokana na  ongezeko  la VAT; https://youtu.be/AIcmUbDc0Oc 
Serikali imesema shirika la viwango nchini Tanzania TBS haitaruhusiwa kusajili bidhaa yoyote ambayo haina barcode ya Tanzania; https://youtu.be/6f9mqsYYj2g 
Serikali imewataka wakuu wa mikoa wote nchini Tanzania kufanya operesheni kwa ajili ya kuwaondoa wafugaji wavamizi; https://youtu.be/8jgp1LnsUe8 
Wadau mbalimbali wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali na taasisi binafsi katika vita dhidi ya mapambano ya dawa za kulevya; https://youtu.be/edcTgrmNNWY 
Imeelezwa kuwa wananchi hawana elimu ya kutosha juu ya sheria ya manunuzi hali inayoleta mkanganyiko kwa jamii; https://youtu.be/QIxYrS09y6E 
Zaidi ya wakazi 300 wa kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema hawana chakula wala malazi baada ya makazi yao kuteketea kwa moto; http://simu.tv/G1SXn4C 
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu awataka wafanyabiashara nchini kutumia Nsimbo Milia ya Tanzania ili kutambulisha bidhaa zao kimataifa; https://youtu.be/aobwCwzF3zo 
Fahamu kauli ya mamlaka ya mapato nchini TRA kuhusu VAT inayotozwa kwenye benki na kampuni za simu za mkononi nchini; https://youtu.be/XkeQzSXoXp8 
Mkuu wa mkoa wa Tabora AGREY MWANRI  awataka wakuu wa wilaya wapya kuhakikisha wanasimamia vyema zoezi zima la urejeshwaji wa silaha zinazomilikiwa kinyume na sheria; https://youtu.be/oqgyT1k61KE
 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana asema mkoa wake umemaliza kwa kiasi kikubwa tatizo la uhaba wa madawati mkoani humo; https://youtu.be/hLRq9QoyDQI
 Madaktari bingwa  wa macho na Kinywa kutoka nchini Marekani wako mjini Kibaha mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa huduma ya bure kwa wakazi wa Kibaha;https://youtu.be/CkVQbokAe2I
 Inaelezwa kuwa familia moja  jijini Dar es Salaam yaamua kuhama makazi yao kwa kumkimbia mtuhumiwa wa ubakaji aliyeachiwa huru na vyombo vya usalama;https://youtu.be/vlCSRZL3R4c
 Timu ya taifa ya Serengeti Boys yafanikiwa kuitandika timu ya taifa ya umri wa miaka 17 ya  Ushelisheli kwa jumla ya goli 6-0 https://youtu.be/XLU-0Wwr5R0
 Kamati ya maadili ya shirikisho la soka nchini TFF latupilia mbali shauri linalomkabili afisa habari wa klabu ya Yanga, Jerry Muro; https://youtu.be/Bn5-3ArhJgQ
 Mchezaji namba moja wa mchezo wa Tenis Duniani Novak Djokovic atupwa nje katika michuano Wimbledon  inayoendelea nchini Uingereza; https://youtu.be/IDJXDYz1GYY

No comments: