Wednesday, July 20, 2016

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA UFUNGUZI WA TAMASHA LA MZANZIBAR, MJINI UNGUJA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akitembelea mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali za wajasiriamali kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akiangalia kamusi la lahaja la Kipemba wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za wajasiriamali kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akiangali bidhaa za wajasiriamali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed (wa pili kushoto) akiangali bidhaa za wajasiriamali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Sherehe za ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari zilizofanyika leo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Sherehe za ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari zilizofanyika leo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Maafisa mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari wakifuatilia kwa makini hotubaya iliyotolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari wakifuatilia kwa makini hotubaya iliyotolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Akina mama waliovalia vazi la asili ya Mzanzibari wakati wa sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari lililofanyika leo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50ya Mapinduzi ambapo mgeni rasmi akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wasanii mbali walioimba wimbo wa Kipindupindu mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibar liliofungulia leo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wasanii wa Jeshi la mafunzo Zanzibar wakicheza ngoma ya Mkurungu yenye asili yake kjijiji cha Nungwi Wilaya Kaskazini A.Unguja wakati wa ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari lililofunguliwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar
Baadhi ya wananchi walihudhuria katika ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari walipokuwa wakiangalia burudani mbali mbali zilizotolewa na vikundi vya wasanii katika ufunguzi huo uliofanyika leo katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar akitoa maelzo kuhusu Tamasha la Mzanzibari wakati wa Ufunguzi wa tamasha hilo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu, Zanzibar.]

No comments: