Wednesday, July 6, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka madereva wa vyombo vya moto nchini kuzingatia sheria za barabarani na weledi ili kunusuru maisha ya abira.https://youtu.be/X7Z2Bt3848o

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Mtwara limetoa tahadhari kwa wakazi wa mkoa huo kwa kua kipindi hiki cha sikukuu watu wengi hujiingiza kwenye vitendo vya kihalifu.https://youtu.be/uCJLO2RYUXw

SIMU.TV: Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Mtwara wamesherekea sikukuu ya Eid El Fitr kwa kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji damu.https://youtu.be/-UAPXOvRgjc

SIMU.TV: Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Dodoma wameaswa kulipa Zaka na kodi ili kuwezesha taasisi za dini na serikali kuihudumia jamii ipasavyo. https://youtu.be/L42wW-HcWmQ

SIMU.TV: Viongozi wa dini ya kiislamu watoa wito kwa jamii ya kiislamu kukemea vitendo viovu vya watu wanaofanya mauaji sehemu mbalimbali kwa jina la dini ya kiislamu.https://youtu.be/bhBjvEAVvuI

SIMU.TV: Naibu waziri wa nishati na madini ameliagiza shirika la umeme nchini TANESCO kuwafuata wateja badala ya kukaa ofisini nakusubiri wateja kuwafuata ili kuongeza watumiaji wa nishati hiyo. https://youtu.be/EBfAI4bZWD8

SIMU.TV: Moto umeteketeza mabweni ya kituo cha Faraja cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu mkoani Iringa. https://youtu.be/H0-GVIkUv0w

SIMU.TV: Kaimu mkurugenzi wa shirika la reli nchini TRL amesema iwapo miundo mbinu ya reli itatumiwa vizuri itasaidia serikali kuinua kiwango cha mapato ya taifa.https://youtu.be/emAnQ8IN0Gg

SIMU.TV: Tanzania inawakilishwa na washiriki saba pekee katika mashindano ya olimpic yatakayofanyioka huko Rio de Jeneiro nchini Brazil. https://youtu.be/mtlc7HkXJsw

SIMU.TV: Shirikisho la soka nchini TFF limesema haliutambui uchaguzi wa klabu ya Stand United uliofanyika june 26 mwaka huu. https://youtu.be/jZleTOlziaU

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imetoa msaada kwa waandishi wa habari za michezo wanaoenda katika semina ya mafunzo nchini Kenya.https://youtu.be/65kvctqOMww

SIMU.TV: Msanii wa muziki wa dance nchini Christian Bella anatarajia kutoa burudani katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya benki ya ushirika ya Kilimanjaro julai 10 mwaka huu. https://youtu.be/N2ZZnr-MlJY

SIMU.TV: Mahakama nchini Afrika kusini imemhukumu kwenda jela miaka sita mwanariadha mlemavu Osca Pistorius kwa kukutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake.https://youtu.be/5YaLEbAOAkA

SIMU.TV: Mchezaji nyota wa soka duniani Lionel Messi amehukumiwa kwenda jela  baada ya kukutwa na kosa la kukwepa kulipa kodi nchini Uhispania.https://youtu.be/buk_gJ9P3Q0

SIMU.TV: Kocha wa timu ya taifa ya Argentina amebwaga manyanaga baada ya kushindwa kuiongoza timu yake kuchukua ubingwa wa Kopa Amerika. https://youtu.be/8XIuigH_xlE

SIMU.TV: Mwanamuziki nyota duniania Rihana amegoma kutumbuiza nchini Colombia kwa kuhofia kuambukizwa virusi vya ugonjwa wa Zika. https://youtu.be/iGqr1pVPfms

SIMU.TV: Waumini wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kudumisha umoja na mshikamo na watu wa dini nyingine ili kuendelea kutunza amani ya nchi yetu;https://youtu.be/56PUzvJxZoU

SIMU.TV: Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Shein, amesema hakuna serikali ya mpito katika visiwa hivyo pia amewataka wananchi kushirikiana na serikali yao; https://youtu.be/L_G2GsNXfvU

SIMU.TV: Mkoani Dodoma waislamu wameombwa kuendelea kuwa na moyo wa kusaidiana  pamoja na huruma licha ya kumalizika kwa mfungo wa ramadhani;https://youtu.be/gKDyNvTZn_o

SIMU.TV: Waziri wa nchi anayeshughulikia muungano na mazingira January Makamba amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani ya nchi yetu;https://youtu.be/XpoPoPD-vRw
SIMU.TV: Jijini Dar Es salaam jumla ya watoto 55 wamezaliwa usiku wa kuamkia sikukuu ya Eid, watoto 42 wakizaliwa Hospitali ya Amana na 13 Hospitali ya Temeke;https://youtu.be/sGnaNo6Lg-A

SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli amewataka waumini wa Kiislamu pamoja na watanzania wote kwa ujumla kuendeleza mafundisho yote waliyoyapata katika mfungo wa mwezi wa ramadhani; https://youtu.be/CS95lV17nk0

SIMU.TV: Kamati ya maadili ya shirikisho la mpira nchini TFF inatarajia kukutana hapo kesho kujadili mashauli mbalimbali yanayowakabili wasemaji wa vilabu vya soka akiwemo Jerry Murro; https://youtu.be/k6_HGXNm9GY

SIMU.TV: Mke wa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mama Mwanamwema Shein, atashiriki katika matembezi ya kilometa 5 ili kuchangisha fedha kwa ajili ya vipindi vya kuelimisha wanawake; https://youtu.be/iO3G7r_b3CM

SIMU.TV: Timu za Maveterans mkoani Dar Es salaam wanatarajia kufanya uzinduzi wa kundi lao la Veterans group ambalo linakombaini veterans mbalimbali ambapo kutakuwepo na michezo mbalimbali; https://youtu.be/02dFgcZ5nLk

SIMU.TV: Kampuni ya Music Vitamin imepanga kufanya show siku ya Eid pili ili kuchangisha fedha kusaidia wazee wasiojiweza sambamba na watoto wenye uhitaji;https://youtu.be/L1zfURHHuMo

SIMU.TV: Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona Muargentina Lionel Messi, amehukumiwa jela kwa miezi 21 baada ya kukutwa na makosa katika kesi yake ya ukwepaji wa kodi; https://youtu.be/vybYjp3NMbs

No comments: