Friday, July 22, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Simu.tv: Waziri wa maliasili na utalii Profesa Jumanne Magembe amefanya mabadiliko ya watendaji katika sekta za misitu na wanyama pori kwa lengo la kuongeza ufanisi.https://youtu.be/RLXpwa3VlgY

Simu.tv: Jumla ya shilingi bilioni moja za msaada kutoka Marekani zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya mafunzo ya watumishi wa kujitolea wanaokwenda kuwahudumia watoto wanaoishi katika mazingira magumu. https://youtu.be/soxtxuPybaA

Simu.tv: Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu umetoa msaada wa mdawati takribani 500 kwa halamashauri ya wilaya ya Nyanghwale. https://youtu.be/Qd31Pyb3IKA

Simu.tv: Shule tatu za wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam zimepokea msaada wa madawati yaliyotolewa na mfuko wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.https://youtu.be/hCJfq2EZeiw

Simu.tv: Mimba zisizotarajiwa na mahudhurio duni ya wanafunzi wa kike ni miongoni mwa changamoto zinazosababisha ufaulu duni katika shule ya Gighimu iliopo wilaya ya Mbulu.https://youtu.be/U2ZhF2Myc74

Simu.tv: Matumizi ya kadi katika kufanya malipo au manunuzi ni njia salama ya kumuepusha mwananchi katika kupotelewa na fedha. https://youtu.be/MfL8xWg-jIM

Simu.tv: Benki ya walimu nchini imezindua tawi lake la kwanza barabara ya Samora jijini Dar es salaam. https://youtu.be/vCdMx92bzRw

Simu.tv: Wanawake wajasiriamali wametakiwa kuimarisha vikundi vyao vya kiuchumi vya VICOBA ili kuwezesha taasisi za kifedha kuwafikia kirahisi. https://youtu.be/AaYWydkgjUE

Simu.tv: Naibu spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Tulia Aksoni amezindua mbio za kilometa tano katika mkoa wa Dodoma. https://youtu.be/KVJ-1vBa_Yc

Simu.tv: Mwalimu wa masuala ya soka ameiasa timu ya Yanga katika  kujiepusha na mbinu zilizopitwa na wakati katika mashindano ya kimataifa. https://youtu.be/q5WkBLIXVlc

Simu.tv: Mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga  Athuman Chama anaomba wananchi kumsaidia ili aweze kupata matibabu ya maradhi ya moyo yanayomsumbua.https://youtu.be/255RtYDzWdg

Simu.tv: Chama cha soka nchini Uingereza kimemteua kocha wa klabu ya Sunderland Sam Alladyce kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa la Uingereza. https://youtu.be/AUpLR3WpeG8

Simu.tv: Timu ya Manichester United leo imeambulia kichapo kikali cha mabao manne kwa moja kutoka kwa timu ya Borussia Dortmund. https://youtu.be/Ci4t_vRWVoI

Simu.tv: Hatimaye halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi Taifa NEC, imepitisha jina la Rais Magufuli kuwa mgombea pekee wa nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho Taifa;https://youtu.be/tzz51iFjTAs  

Simu.tv: Zaidi ya wakazi 3000 mkoani Iringa, wanatarajia kunufaika na huduma ya maabara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa maabara hiyo;https://youtu.be/okdR3pZ1Wsk
Simu.tv: Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Jenerali Davis Mwamunyange, amefunga rasmi mafunzo ya wanajeshi wa kulinda amani yaliyokuwa yakifanyika nchini;https://youtu.be/azMgkLo-P4E
Simu.tv: Wakazi wa kijiji cha Chanzuru wilayani Kilosa, wameiomba serikali kuingilia kutatua mgogoro wa shamba lililobinafsishwa na serikali miaka mingi iliyopita;https://youtu.be/bdH9OF_7LMk
Simu.tv: Serikali ya Tanzania na benki ya Exim ya China, zimetiliana saini kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo mradi wa ujenzi wa reli ya kati;https://youtu.be/00IcSnpTy3g

Simu.tv: Kiongozi wa mbio za za mwenge kitaifa George Mbijima, amekataa kutia saini ya kikundi cha Polisi jamii katika kata ya Kagezi wilayani Kibondo mkoani Kigoma;https://youtu.be/J0yffH_i7_k

Simu.tv: Nyanya katika soko la Kariakoo jijini Dar Es salaam, zimeshuka bei baada ya kupatikana kwa wingi kwa bidhaa hiyo katika kipindi hiki cha mavuno;https://youtu.be/MiAoAKYWFWw

Simu.tv: Kilimo cha Korosho kinatarajia kuanzishwa katika wilaya za Namtumbo na Mbinga baada ya kuonesha zao hilo zaidi katika wilaya hizo; https://youtu.be/-iJlAN6YtuQ

Simu.tv: Kampuni ya simu za mikononi ya Tigo imechangia madawati 350 mkoani Tabora kama juhudi za kuunga mkono juhudi za Rais kumaliza kabisa tatizo la madawati nchini;https://youtu.be/vsf-aWbI-6w

Simu.tv: Walimu mkoani Arusha, wameiomba benki ya NMB kuwawekea utaratibu utakaowasaidia kupata mikopo yenye masharti nafuu; https://youtu.be/lG3fhEZeR2k  

Simu.tv: Hali ya mwenyekiti wa chama cha Netiboli nchini Anna Kibira, imezidi kuimarika baada ya kuugua ugonjwa wa kupooza alipokuwa akishiriki mashindano ya muungano visiwani Zanzibar; https://youtu.be/RrYr0Gz40KA

Simu.tv: Klabu ya African Lyon yenye maskani ya jijini Dar Es salaam imekamilisha zoezi lake la usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara;https://youtu.be/2Sx6vX8DZR8

Simu.tv: Shirikisho la soka nchini TFF limesema kwamba, licha ya timu ya Taifa kukosa nafasi ya AFCON haiwezi kuacha kwenda kumalizia mchezo wake dhidi ya Nigeria;https://youtu.be/9yIt4fKa_Pw

Simu.tv: Shirikisho la mpira nchini Uingereza, limethibitisha kumchagua aliyekuwa kocha wa Sunderland Sam Allardyce kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Uingereza;https://youtu.be/L9kfczdFlPE

No comments: