Wednesday, July 6, 2016

RAIS WA ZANZIBA DKT. SHEIN MGENI RASMI BARAZA EID EL FITRI LEO UNGUJA

 Baadhi ya  akina Mama waliohudhuria katika Baraza la Eid el Fitri lilofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni katika kusherehekea Sikukuu hiyo ya EID El Fitri inayofanyika kila mwaka baada ya mfungo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,katika baraza hilo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
 Baadhi ya viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi waliohudhuria katika Baraza la Eid el Fitri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kusherehekea Sikukuu hiyo ya EID El Firi iliyofanyika leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake kwa Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi na Wananchi waliohudhuria katika Baraza la Eid el Fitrilililofanyika leo  katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja
 Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakiangalia vitabu vya hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiitoa leo katika Baraza la Eid el Fitri lililofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi uliopo Mnazi mmoja Mjini Unguja,ambapo hufanyika kila mwaka baada ya kumaliza Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
 Kikosi cha Jeshi la Polisi cha FFU wakitoa heshma katika gwaride maalum la Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipohudhuria katika Baraza la Eid el Fitri lililofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (aliyesimama katika jukwaa) alipokuwa akipokea heshma ya gwaride maalum la Kikosi cha Jeshi la Polisi cha FFU  katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo  katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Wananchi mbali mbali na Viongozi  katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo  katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Wananchi mbali mbali na Viongozi  katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo  katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume pamoja na akina mama wengine  katika kusherehekea Baraza la Eid el Fitri lililofanyika leo  katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja. Picha na Ikulu. 

No comments: