Tuesday, July 12, 2016

MKAZI WA JIJI LA MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA SHILINGI MILIONI 20/=NA VODACOM TANZANIA

 Mkazi wa Mkolani jijini Mwanza na Mshindi wa Promosheni ya”Kamata Mpunga”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Shomari Almas(kushoto) akionyesha Sh 20 Milioni kwa waandishi wa habari,baada ya kukabidhiwa na Meneja Mauzo wa kampuni hiyo kanda ya ziwa,Victoria Chale(kulia) kwenye hafla ya kumkabidhi kitita hicho iliyofanyika jijini Mwanza jana.
 Mkazi wa Mkolani jijini Mwanza na Mshindi wa Promosheni ya”Kamata Mpunga”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Shomari Almas,akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea Sh 20 Milioni kwenye hafla iliyofanyika jijini Mwanza jana.
 Mkazi wa Mkolani jijini Mwanza na Mshindi wa Promosheni ya”Kamata Mpunga”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Shomari Almas(wanne kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa wakati wa hafla fupi jana ya kukabidhiwa kitita chake cha Shilingi Milioni 20/= alizojishindia.
 Mkazi wa Mkolani jijini Mwanza na Mshindi wa Promosheni ya Vodacom Shomari Almas(kushoto) akipokea Sh 20 Milioni kutoka kwa Meneja Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania kanda ya Ziwa,Victoria Chale,kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Mwanza jana.
Mkazi wa Mkolani jijini Mwanza na Mshindi wa Promosheni ya”Kamata Mpunga”Inayoendeshwa na  Vodacom Tanzania,Shomari Almas,akiwa haamini macho yake baada ya kupokea Sh 20 Milioni kutoka kwa Meneja Mauzo na Usambazaji wa kampuni hiyo kanda ya Mwanza,Victoria Chale kwenye hafla iliyofanyika jijini Mwanza jana.

No comments: