Thursday, July 21, 2016

MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA, WAITARA ATOA MSAADA WA MADAWATI KATIKA SHULE YA MSINGI KEREZANGE.

 Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara, akimkabidhi madawati mwalim Mkuu msaidizi wa Shule ya Msingi  Kerezange Dar es Salaam.
 Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara, akimkabidhi mpira mwalimu wa michezo wa shule ya Msingi Kilimani, Abdull Mukhusini,  iliyopo Kipunguni wakati alipoenda kukabidhi madawati kwa shule tatu.
 Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi  Kilimani  iliyopo Kipunguni wakati alipoenda kukabidhi  madawati kwa shule tatu za jimbo lake.




 Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akiongea na wanafunzi wa Shule ya msingi Kilimani iliyopo Kipunguni wakati alipoenda kukabidhi madawati kwa shule tatu za jimbo lake.
 Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara, (kushoto) akimkabidhi madawati Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Serengeti, Marietha Mulalia iliyopo Kivule Dar es Salaam. 
Mbunge wa jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akiteta jambo na  wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipunguni Dar es Salaam wakati alipokabidhi madawati kwa shule ya Msingi Kilimani.

No comments: