Saturday, July 2, 2016

HUAWEI YAUZINDUZI SIMU MPYA YA HUAWEI KISHKWAMBI INAYOKUJA NA OFA KABAMBE KUTOKA VODACOM.

 Uongozi wa kampuni ya Huawei Device Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Vidacom Tanzania mara baada ya mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa simu mpya ya Huawei kishkwambi inayokuja na ofa kabambe kutoka Vodacom, uliofanyika katika ukumbi wa Western Coral Beach Hotel, jijini Dar es Salaam
 Meneja wa Huawei nchini Tanzania Bw. Huxiangyang Jacko akitoa hotuba kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi simu mpya ya Huawei kishkwambi inayokuja na ofa kabambe kutoka Vodacom. Kulia ni Mkuu wa Kitengo  cha  Mauzo na usambazaji Vodacom Tanzania George Rwehumbiza na Mkurugenzi wa mauzo na Usambazaji  wa Huawei Tanzania Bwana Sylvester Manyara
  Mkuu wa Kitengo  cha  Mauzo na usambazaji Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akitoa hotuba kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi simu mpya ya Huawei kishkwambi inayokuja na ofa kabambe kutoka Vodacom. Kushoto ni Meneja wa Huawei nchini Tanzania Bw. Huxiangyang Jacko na Kulia ni Mkurugenzi wa mauzo na Usambazaji  wa Huawei Tanzania Bwana Sylvester Manyara
Mkurugenzi wa mauzo na Usambazaji  wa Huawei Tanzania Bwana Sylvester Manyara akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi simu mpya ya Huawei kishkwambi inayokuja na ofa kabambe kutoka Vodacom.

No comments: