Wednesday, July 13, 2016

BREAKING NEWZZZZ: MOTO MKUBWA WAIBUKA KWENYE GEREJI JIRANI NA KLABU YA YANGA JANGWANI JIJINI DAR MUDA HUU

HABARI ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU NI KWAMBA MOTO MKUBWA UMEZUKA HIVI SASA KWENYE SEHEMU YA GEREJI ZA MAGARI JIRANI NA KLABU YA YANGA JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAM. KIKOSI KAZI KIMEELEKEA HUKO NA TUTAWAJULISHA KINACHOENDELEA MARA BADA YA KUPATIKANA TAARIFA KAMILI.
STAY TUNED....
Moto ukiendelea kuteketeza baadha ya vifaa mbalimbali vya magari kama Injini, kibini na  matairi.
Kikosi cha Polisi cha Zimamoto wakizima moto katika eneo la tukio kwenye gereji iliyopo karibu na jengo la Klabu ya Yanga maarufu kama kwa msambaa jijini Dar es Salaam muda huu.
No comments: