Tuesday, July 5, 2016

ALEX MSAMA AWAFARIJI WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMUMkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa zawadi za vitu mbalimbali kwa vituo 6 vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam, leo ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Sikukuu ya Eidd el Fitr. Zawadi hizo zimetokana na fedha zilizopatikana katika Tamash la Pasaka.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (kulia), akimkabidhi mlezi wa Kituo cha Kulelea watoto Yatima cha Irshaadi, Juma Kaseja, sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa ajili ya Sikukuu ya Eidd el Fitr, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi ya watoto waliohudhulia hafla hiyo.
Msama akitoa zawadi za Sikukuu ya Eid el Fitr.

Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyotolewa na kampuni ya Msama Promotions Ltd,mapema leo jijini Dar katika vituo sita.
Baadhi ya watoto waliohudhulia hafla hiyo.
Msama akitoa zawadi za Sikukuu ya Eid el Fitr.
Watoto wakipokea zawadi.
Msama akigawa zawadi mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Msama akimkabidhi mtoto Fahari Haji vitu mbalimbali kwa ajili ya Sikukuu ya Eid el Fitr.

No comments: