Saturday, June 11, 2016

Wanachama wa Yanga waanza kupiga kura hivi sasa kuchagua uongozi mpya wa Klabu hiyo

 Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga, wakiwa tayari kwa kazi hiyo ya uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.
 Fomu za kupigia Kura.
Sehemu ya Wanachama wa Klabu ya Yanga, wakichukua fomu tayari kwa kuchagua viongozi wapya watakaoiongoza Klabu hiyo.
 Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm nae ni Mmoja wa Wanachama wa Yanga wanaopiga kura leo kuchagua uongozi mpya wa Klabu hiyo.
Wanachama wakipiga kura.
Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm akitumbukiza karatasi kwenye Sanduku la Kura.
Mmoja wa wanachama wa Yanga ambaye ni Mlemavu wa Miguu, akipiga kura kuchagua viongozi wapya wa Yanga.
Ulinzi mkali kwenye Uchaguzi huo.

No comments: