Monday, June 20, 2016

WABUNGE WAJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, DODOMA

Baadhi ya maofisa waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile (aliyekaa kiti cha mbele), wakifuatilia mada iliyowasilishwa kwa wabunge kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, sura 410, katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma, jana
 Kamishna wa Sera ya Ununuzi wa Umma, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, DKT. Fredrick Mwakibinga, akiwasilisha mada kwa waheshimiwa wabunge, kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma, jana. 
 Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyaji (Prof. Maji Marefu) akichangia jambo wakati wa mjadala  kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana.
 Mbunge wa Nkasi, Ali Kessy, akichangia jambo wakati wa mjadala  kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma, Jana.
Mwenyekiti wa Semina ya Wabunge kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma,Sura 410, Mhe. Hawa Ghasia akiongoza mjadala kuhusu Marekebisho ya Sheria hiyo, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, mjini Dodoma, jana.
 Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe, wakifuatilia kwa makini mada kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyotolewa kwa waheshimiwa wabunge katika ukumbi wa Pius Msekwa, jana Bungeni Mjini Dodoma
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile, akichangia jambo wakati wa mjadala  kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchg. Peter Msigwa, akichangia jambo wakati wa mjadala  kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma, Jana.

Baadhi wa Waheshimiwa wabunge wakifuatilia kwa makini mada iliyowasilishwa kwao kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana.

No comments: