Wednesday, June 29, 2016

ATE WAWAASA WANACHAMA KUACHANA NA UWAKALA WA RUSHWA KATIKA SEHEMU ZAO ZA KAZI.WANACHAMA wa chama Waajiri Tanzania waaswa kuachana na uwakala wa Rushwa katika nafasi zao wakati wa kuaajiri wafanyakazi katika sehemu zao za kazi.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Chama cha waajiri Tanzania(ATE), Agrey Mulimuka wakati akizungumza na wanachama hao katika mkutano mkuu wa mwa uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Pia amesema kuwa waajiri waajiri wafanyakazi wenye kibali cha ukazi na kuwa na mabadili katika sehemu zao za kazi.

Nae Kamishna wa kazi wa Wizara ya Ofisi ya Waziri  Mkuu, Sera, Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu, Hilda Kabisa wakati akizungumza na wanachama wa chama cha waajiri Tanzania jijini Dar es Salaam leo kwenye mkutano wa Mwaka wa Chama cha waajiri Tanzania. 

Amesema kuwa waajiri wengi huwa hawana tabia ya kuwasilisha michango ya wafanyakazi wao kwa wakati katika mifuko ya Hifadhi ya Jamii hapa nchini.
Kamishna wa kazi wa Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu, Hilda Kabisa akizungumza kwa niaba ya Wizara wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenister Mhagama jijini Dar es Salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa chama cha waajiri Tanzani (ATE) jijini Dar es Salaam leo.
 Mwenyekiti wa chama cha waajiri Tanzania, Almas Maige na Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini akizungumza katika Mkutano wa mwaka wa chama cha waajili Tanzania jijini Dar es Salaam leo. 
Baadhi ya wadau na wa chama cha waajiri Tanzania(ATE) wakisikiliza katika mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.
 Mratibu wa Mradi wa Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDP), Annamaria Kiaga akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania(ATE) jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya Viongozi wa chama cha waajiri Tanzania(ATE) wakiwa katika mkutano  uliofanyaka jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wadau na wa chama cha waajiri Tanzania(ATE) wakisikiliza katika mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.

No comments: