SIMU.tv: Serikali imetoa siku 90 kwa watu waliovamia msitu wa hifadhi ya taifa ya Uzigua kuondoka kwa hiari kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa.https://youtu.be/LzGA7J4LVqc
SIMU.tv: Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa amewataka wanafunzi wanaohitimu elimu ya juu kutumia vizuri elimu wanayoipata vyuoni. https://youtu.be/zkOA9e4YOeI
SIMU.tv: Serikali ya China inatarajia kuajiri vijana 400 wa kitanzania waliohitimu vyo vikuu ambao watakwenda kufanya kazi katika kampuni za China. https://youtu.be/DQmjf-_CEbQ
SIMU.tv: Katibu mkuu wa wizara ya fedha na mipango amesema mpango wa TASAF kunusuru kaya masikini umeboresha na kubadirisha maisha ya watu masikini.https://youtu.be/rky0v8n42IU
SIMU.tv: Kamati ya uchaguzi ya TFF imefuta matokeo ya uchaguzi ya chama cha soka cha mkoa wa Kinondoni KIFA. https://youtu.be/QA55GMlOZlY
SIMU.tv: Mabingwa wa Tanzania bara timu ya Yanga kesho usiku watashuka dimbani kumenyana na Mo Bajaia katika hatua ya 1 ya makundi ya kombe la shirikisho.https://youtu.be/RJKjQy39rg8
SIMU.tv: Wamachinga wafanya vurugu maeneo ya kariakoo baada ya waziri Simbachawene kuomba kuondolewa kwa wamachinga hao: https://youtu.be/A-Kg6L2e1n8
SIMU.tv: Polisi mkoani Dodoma imezuia mahafali ya umoja wa vyuo vikuu Chadema kutokana na kukosekana kwa kibali cha kufanya mahafali hayo:https://youtu.be/9mZuBiFd5vo
SIMU.tv: Rais mstaafu Mhe. Kikwete amewataka wadau wa maendeleo kuiunga mkono serikali ili watoto wenye hali duni waweze kwenda shule: https://youtu.be/IRLuXUc18yo
SIMU.tv: Aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa amesema kamwe hatokubaliana na uchaguzi uliofanyika mwaka jana:https://youtu.be/3noqh1Aat2c
SIMU.tv: Timu ya Yanga kesho inashuka dimbani nchini Algeria kwa ajili ya kumenyana na timu ya Mo Bajaia katika kombe la shirikisho la Afrika: https://youtu.be/uygfyRcXekQ
SIMU.tv: Mwanamuziki wa kizazi kipya Barnaba amesikitishwa sana kwa kitendo cha wasanii wenzake kushindwa kuwasaidia watoto katika jamii:https://youtu.be/ZD6gX69p4gA
No comments:
Post a Comment