Thursday, June 9, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Serikali imewasilisha bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka 2016/2017 iliokadiriwa kufikia takribani trilioni 29. https://youtu.be/j4WoM_T4soA

SIMU.TV: Vyama vya upinzani vimelalamikia kinachosemwa kuwa ni uminyaji wa Demokrasia nchini unaofanywa na vyombo vya dola na kuminya uhuru wao.https://youtu.be/aaltPT1JXoc

SIMU.TV: Tanzania kupitia chuo cha kutengeneza vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu imefanikiwa kutoa mafunzo kwa wahitimu zaidi ya 300 ngazi ya shahada.https://youtu.be/riy6v9rAU4o

SIMU.TV: Madiwani wakurugenzi na watendaji wa halmashauri za Rorya na Butiama wameaswa kuwa waadilifu katika kusimamia miradi ya serikali. https://youtu.be/wSJrti-Hb0c

SIMU.TV: Shirika la viwango nchini TBS limeteketeza betri za umeme wa jua ambazo zilikutwa katika maduka zikiwa hazijakidhi viwango. https://youtu.be/zUQma2KF8S8

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania katika kurahisisha huduma zake kwa wateja imefungua duka lake katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam.https://youtu.be/MP07eC4RFKg

SIMU.TV: Mababidiliko ya tabia ya nchi duniani yamesababisha ukame katika maeneo mbalimbali yanayotegemewa katika uzalishaji wa mazao ya chakula.https://youtu.be/luee1Wb3_Mc

SIMU.TV: Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameendela kutaabika na uhaba wa sukari ambapo bado wamekua wakiipata bidhaa hiyo kwa shida na kwa bei ya juu.https://youtu.be/uw7Hd3DpqkM


SIMU.TV: Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa benki kuu ya Tanzania.https://youtu.be/ZGaQ6Wl-QbU

SIMU.TV: Rais wa shirikisho la soka nchini ametuma salam za rambirambi kwa shirikisho la soka nchini Nigeria NFF kufuatia kifo cha aliyekua kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria Steven Keshi. https://youtu.be/ZHaIx1Yh9Pc

SIMU.TV: Timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys itaingia kambini kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya vijana ya Visiwa vya Ushelisheli. https://youtu.be/jI9l7REBXEM

SIMU.TV: Shirikisho la soka nchini limeanza kutoa fomu za leseni za ligi kuu na ligi daraja la kwanza kwa klabu zote shiriki  nchini. https://youtu.be/IMCbqT8ohSI

SIMU.TV: Chama cha riadha mkoa wa Dar es Salaam kimeendesha mashindano ya kutafuta washiriki watakaoenda kwenye mashindano ya taifa ya kutafuta washiriki wa Olimpiki. https://youtu.be/xXlPo8NRxXE

SIMU.TV: Shirikisho la soka nchini Nigeria limetanganza kifo cha aliyekua kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria Steven Keshi. https://youtu.be/gGALPwLU-Mc

SIMU.TV: Kama ilivyo kwa Tanzania pia katika nchi nyingine za afrika mashariki zimewasilia bajeti za makadirio na mapato katika mwaka 2016/2017. https://youtu.be/ZhDuKkBSIW0  

SIMU.TV: Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu bajeti ya serikali kwa kupongeza kuondolewa kwa kadi zilizokuwa kikwazo. https://youtu.be/_Fz5-KSlGgw

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi mkoani Mbeya wamepongeza hatua ya serikali kujikita kwenye uchumi unaotegemea viwanda. https://youtu.be/SM4BBPKPgBk

SIMU.TV: Baadhi ya wakulima na wakazi wa mkoa wa Shinyanga  pamoja na kuipongeza bajeti ya serikali pia wameiomba serikali kuhakikisha inatoa fedha za miradi ya maendeleo kwa wakati. https://youtu.be/2ugjTLjIje8

SIMU.TV: Wakazi wa mkoa wa Iringa waitaka serikali kuitekeleza bajeti iliosomwa ili kuwafikia walengwa na kuwanufaisha. https://youtu.be/gZebJOlV_EQ

SIMU.TV: Benki kuu ya ya Tanzania imeendelea na zoezi la kuiondoa noti ya shilingi mia tano kwenye mzunguzo kutokana na kuchakaa. https://youtu.be/BKAXKR-D9kc

SIMU.TV: Wanafunzi 56 wa shule ya ya huduma ya Jeshi la wananchi wa Tanzania wanaojifunza ununuzi na ugavi wametakiwa kutumia weledi wao kuepuka ununuzi wa bidhaa zilizo chini ya kiwango. https://youtu.be/VBgccqLCFgY

SIMU.TV: Shirika la viwango nchini TBS  limeteketeza betri za umeme jua feki ambazo ziligunduliwa kutokidhi viwango vya matumizi. https://youtu.be/Iu5bQ1u8TkM

SIMU.TV: Benki ya wananchi ya Muccoba imeorodheshwa kwenye soko la hisa la Dar es Salaam baada ya kufikisha kiwango cha mtaji wa bilioni mbili.https://youtu.be/B6icq6IpJJs

SIMU.TV: Shirikisho la masumbwi duniani limetoa nafasi ya mwisho kwa Tanzania kushiriki kwa katika mashindano ya olimpiki. https://youtu.be/LZmE7Z5ghh8

SIMU.TV: Shirikisho la soka TFF limetuma salam za rambi rambi kwa shirikisho la soka la Nigeria NFF kutokana na kifo cha aliyekua kocha wa timu ya taifa hilo.https://youtu.be/FpI97vez14Y

SIMU.TV: Uwekaji wa nyasi bandia kwa uwanja wa Kaitaba unaendelea vizuri na unatarajiwa kufunguliwa mwezi ujao. https://youtu.be/xc2XYmFON_Q

SIMU.TV: Shirikisho la tenisis duniani limemfungia Maria sharapova kutoshiriki katika michezo hiyo kwa miaka miwili baada kukutwa na tuhuma za kutumia dawa zisizostahili.https://youtu.be/6_CMzULj8K0

No comments: