Wednesday, June 15, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi wa jiji la Dar es salaam wameelezea wasiwasi wao na ufanisi wa zoezi la uzimwaji wa simu feki nchini;https://youtu.be/DIwbTEYWZmw

SIMU.TV: Bodi ya mikopo na NACTE zashauriwa kurekebisha dosari mbalimbali zilizojitokeza kiutendaji ili kuweza kufanya kazi zake kiuweledi;https://youtu.be/3R_I1OE3tbs

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamelilalamikia jeshi la Polisi kwa kuwafanyia vitendo vya unyanyasaji ikiwa ni pamoja na kuwabambikia kesi;https://youtu.be/RIOSGJs4NRA

SIMU.TV: Rais Dr Magufuli amewasihi watanzania wote kuungana na wasilam wote nchini walioko katika mfungo wa ramadhani ili kuiombea nchi amani na utulivu;https://youtu.be/xLWQzyKATGI

SIMU.TV: Abiria wa mabasi yaendayokasi wamelazimika kushuka katika magari hayo na kuendelea na safari zao baada ya kutokea kwa mabishano kati ya dereva na trafiki;https://youtu.be/rV5KWsw__nA

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imewatangaza washindi wake wa awali wa bahati nasibu yao ya Kamata mpunga jijini Dar es salaam;https://youtu.be/PzjrF4KgXRs

SIMU.TV: Waziri wa nchi Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za fedha nchini kupunguza viwango vya riba ili kuwawezesha wananchi wa viwango vya chini kunufaika na huduma hizo; https://youtu.be/0Hgi7lH0EGo

SIMU.TV: Rais wa shirikisho la masumbwi nchini BFT Mwita Rwakatare amelalamikia kitendo cha shirikisho hilo mkoa wa Dar es salaam kuandaa mchezo wa ngumi bila ridhaa yao; https://youtu.be/hGftnRzGboYV

SIMU.TV: Maadhimisho ya siku ya Yoga yanatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam huku yakitemewa kuhudhuriwa na wageni kutoka mataifa mbalimbali;https://youtu.be/D_X3TAov5s0

SIMU.TV: Chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemevu kilichopo Yombo jijini Dar es salaam kimepokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Uhuru ;https://youtu.be/O3_3PADplsY

SIMU.TV: Brazil wamemfukuza kazi kocha mkuu wa timu hiyo Carlos Dunga baada ya timu yake kutolewa katika hatua ya makundi ya michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani; https://youtu.be/Qdra67bv7Fo

Waziri wa elimu sayansi teknolijia na mafunzo ya ufundi ametoa taarifa ya uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili watendaji wa bodi ya mikopo waliosimamishwa kupisha uchunguzi. https://youtu.be/YHlJsPgKIlM
SIMU.TV: Simu bandia za mkononi zitazimwa rasmi kesho ikiwa ni hatua ya kuthibiti uingizwaji na uuzwaji wa simu bandia hapa nchini. https://youtu.be/u5qLaKATMak

SIMU.TV: Rais Dr John Pombe Magufuli amewasihi watanzania kuungana na waislam waliopo kwenye mfungo mtukufu kuliombea taifa amani. https://youtu.be/ObjI2l3Py48

SIMU.TV: Serikali imemuagiza mkandarasi kumalizia barabara ya kutokea Senzati hadi Mugumu katika mkoa wa Mara ndani ya muda uliopangwa. https://youtu.be/6QiGXg7qhjk

SIMU.TV: Waziri mkuu Kasimu Majaliwa amezisihi taasisi za kifedha nchini kupitia upya riba za mikopo ili kuwezesha wakopaji kunufaika na mikopo wanayokopa.https://youtu.be/gd_G2qngaPo

SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi amewataka wakazi wa wilaya hiyo kushirikiana na walimu ili kuinasua wilaya hiyo katika kufanya vibaya kwenye sekta ya elimu. https://youtu.be/yQadN_nhMP4

SIMU.TV: Bodi ya utalii nchini imeandaa mikakati kabambe ya kuinua utalii hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuanziasha tovuti itakayotoa maelekezo na taarifa kwa watalii.https://youtu.be/W57dhxhbA0s

SIMU.TV: Meneja wa mamlaka ya mapato TRA mkoa wa Mbeya amesema mamlaka hiyo itaendelea kusimamia sheria katika kutoza na kukusanya kodi.https://youtu.be/zXJ_bmY_0cs    

SIMU.TV: Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imendelea kukusanya madeni sugu ya kodi ya majengo kwa wamiliki wa majengo. https://youtu.be/2IhP32xL3ZY

SIMU.TV: Kampuni ya usafirishaji ya kimataifa ya UBER inayowaunganisha wasafiri na huduma za taxi kwa njia ya mtandao imezindua huduma zake nchini.https://youtu.be/aysDCRvtDDo

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imetoa zaidi ya milioni ishirini kwa wananchi walioibuka washindi kwenye pomosheni ya kamata mpunga.https://youtu.be/oOvyhwlAiBc

SIMU.TV: Romania wameendelea kupoteza matumani ya kuendelea kubaki katika mashindano ya UEFA EURO baada ya kukubali sare ya moja kwa moja dhidi ya Uswisi.https://youtu.be/PZArF7yziBI

SIMU.TV: Wakati dirisha la usajili likifunguliwa nchini wachezaji wametakiwa kuwa makini kwenye mikataba watakayo saini na vilabu vyao. https://youtu.be/SgazYGl6Ry4

SIMU.TV: Kampuni ya Global publisher imetambulisha nyumba iliokuwa ikishindaniwa kwenye bahati na sibu inayoendeshwa na kampuni hiyo. https://youtu.be/M5PU39nY1bA

No comments: