Tuesday, June 7, 2016

MATUKIO YA UZINDUZI WA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA WA MIAKA MITANO 2016/17/2020/21, DODOMA JUNI 7, 2016

 Mbunge wa Mhe. Chalinze Ridwani Kikwete, akicheza ngoma ya kigogo inayochezwa na Kikundi cha ngoma cha Nyati cha mkoani Dodoma, wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 hadi 2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango Dodoma, Juni 7,2016
 Mbunge wa Korogwe Vijijini Mhe. Steven Hillary Ngonyani 'Maji Marefu' akicheza ngoma ya kigogo inayochezwa na Kikundi cha ngoma cha Nyati cha mkoani Dodoma wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 hadi 2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango Dodoma, Juni 7,2016
 Kikundi cha ngoma cha Nyati cha mkoani Dodoma kikitumbuiza wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 hadi 2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango Dodoma, Juni 7,2016


 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) akiteta jambo na Waziri Mkuu Majaliwa K. Majaliwa, wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 hadi 2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango Dodoma, Juni 7,2016
 Mmoja wa wadau wa maendeleo, akionesha Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa miaka 5, baada ya kukabidhiwa na Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa K. Majaliwa, katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, Juni 7, 2016
 
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Florence Mwanri (kushoto) akizungumza jambo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, Wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa miaka Mitano utakao gharimu shilingi Trilioni 107, nje ya ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, Juni 7, 2016

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa miaka Mitano utakao gharimu shilingi Trilioni 107, huku Mawaziri Prof. Jumanne Maghembe na Prof. Sospter Muhongo nao wakibadilishana mawazo ndani ya  ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, Juni 7, 2016. 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Hawa Ghasia, akisoma kitabu cha mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka Mitano 2016/17/2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, baada ya kuzinduliwa rasmi katika Chuo cha Mipango Dodoma Juni 7, 2016. Picha zote na Benny Mwaipaja-WFP

No comments: