Thursday, June 23, 2016

MATUKIO YA BUNGENI LEO.

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunguno wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo leo Bungeni Mjini Dodoma.
 Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge Kazi Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Bariadi Magharibi Mhe. Andrew Chenge leo Bungeni Mjini Dodoma, kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju.

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasilisilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2016 leo Bungeni Mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa kamati ya kuduma ya Bunge ya Bajeti  Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha maoni ya Kamati hiyo  kuhusu muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2016 mapema leo Bungeni mjini Dodoma. 
Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mhe. Amina Mollel akiuliza swali leo Bungeni  wakati wa kipindi cha maswali na majibu kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuwainua wanafunzi wenye ulemavu kupata elimu sawa na wale wasio na ulemavu.

No comments: