Tuesday, June 7, 2016

MADA YA MAUAJI YA TEMBO ILIYOWASILISHWA NA DKT KIKOTI YABADILI NYUSO ZA WAHARIRI NA WANAHABARI WAANDAMIZI .

Mtaalam na Mtafiti wa Tembo ,Dkt Alfred Kikoti akiwasilisha mada juu ya changamoto zinazowakabili wanyama wakubwa ikiwemo mauaji ya Tembo na Faru katika mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi,mkutano unaofanyika mkoani Morogoro.
Washiriki wa mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi
Mtafiti kutoka Taasisi ya utafiti wa wanyama pori (TAWIRI) Dkt Maurus Msuha akiwasilisha mada juu Shoroba au mapitio ya wanyama pori.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) akichangia mjadala wakati wa mkutano wa TANAPA na  Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi.
Mhifadhi Angela Nyaki akiwasilisha mada juu ya Changamoto za mifugo katika Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakichangia katika mkutano huo.

Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog.

No comments: