Mgeni
rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe
kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah pamoja
na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa
(wa kwanza kulia).Mgeni

Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akizungumza katika
uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam.Mkurugenzi
Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah akizungumza
kabla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kwa tawi la Dar es Salaam. Kampuni ya
Auto Xpress tawi la Tanzania inafanya kazi ya ukaguzi wa magari kiufundi
(service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia kompyuta pamoja na uuzaji wa
vifaa madhubuti kwenye magari.Mkurugenzi
Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa akizungumza
wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampuni hiyo tawi la Dar es Salaam
Tanzania. Kampuni ya Auto Xpress tawi la Tanzania itafanya kazi ya
ukaguzi wa magari kiufundi (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia
kompyuta pamoja na uuzaji wa vifaa madhubuti kwenye magari.Baadhi
ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Kampuni ya Auto
Xpress tawi la Dar es Salaam wakifuatilia matukio katika shughuli hiyo.
Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam inafanya kazi ya ukaguzi wa
magari kiufundi (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia kompyuta
pamoja na uuzaji wa vifaa madhubuti kwenye magari.Baadhi

Xpress tawi la Dar es Salaam wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi
huo.Baadhi

ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakilifanyia
uchunguzi kiufundi moja ya gari lililofika kwa service kwenye karakana
yaoMoja ya gari likikaguliwa kwenye karakana ya Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam na mafundi wa kampuni hiyoBaadhi
ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakikagua
magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi wa
kiufundi kwenye karakana yaoBaadhi
ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakikagua
magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi wa
kiufundi kwenye karakana yaoBaadhi
ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakilifanyia
uchunguzi kiufundi moja ya gari lililofika kwa service kwenye karakana
yao.Baadhi
ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakikagua
magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi wa
kiufundi kwenye karakana yao.Mgeni
rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kushoto) akipata maelekezo
toka kwa wataalamu katika uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar
es Salaam.Moja ya gari likikaguliwa kwenye karakana ya Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam na mafundi wa kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment