Thursday, June 16, 2016

CRDB Bank Tawi la Lumumba Yasherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika kwa Kuwahimiza Wazazi Wawafungulie Watoto Account.

 Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Lumumba,  Bibi Pendo Assey akikabidhi zawadi kwa mmoja wa watoto waliofunguliwa acconti kwenye tawi hilo, wakati wa kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika,
 Wafanyakazi wa Benki na watoto.
 Baadhi ya watoto na mabango yenye ujumbe muhimu
 Wafanyakazi wa Benki na watoto.
 Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Lumumba,  Bibi Pendo Assey akiwahudumia baadhi ya wateja wa tawi lake, wakati wa kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika,
Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Lumumba,  Bibi Pendo Assey akikata keki wakati wa kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika, iliyoadhimishwa leo tawini hapo.
 Mkurugenzi wa Utawala na Manunuzi wa Benki ya CRDB, Beatus Segeja,(Kulia) akimlisha mtoto keki wakati wa sherehe ya Siku ya Mtoto wa Africa, CRDB Bank, Tawi la Lumumba.
 Mkurugenzi wa Utawala na Manunuzi wa Benki ya CRDB, Beatus Segeja,(Kulia) akikata keki wakati wa sherehe ya Siku ya Mtoto wa Africa, CRDB Bank, Tawi la Lumumba.
 Mkurugenzi wa Utawala na Manunuzi wa Benki ya CRDB, Beatus Segeja,(Kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wakubwa wa CRDB Bank Tawi la Lumumba, Peter Maro (wa pili kulia) na Moris Shangali (Kushoto). Wa pili kushoto ni mmoja wa wameneja wa vitengo wa wa benki hiyo, Calist Temba, wakati wa sherehe ya Siku ya Mtoto wa Afrika iliyosherehekewa tawini hapo leo mchana.
 Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Lumumba,  Bibi Pendo Assey akiwakumbatia watoto waliofunguliwa akanti ya watoto ya Junior Jumbo kwenye tawi hilo, wakati wa kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika,
 Watoto wakishereheka huku wazazi wao ambao ni wateja wa Beki ya CRDB Lumumba, wakiangalia.
 Meza ya mapochopocho ya sherehe ya siku ya Mtoto wa Afrika kwa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba.
 Viongozi na Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba, wakijiandaa kuwapokea watoto kwa sherehe ya Siku ya Mtoto Afrika iliyosherehekewa tawini hapo leo mchana.
Viongozi na Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba, wakijiandaa kushuka chini kwenye jengo la Lumumba ili kuwapokea watoto kwa sherehe ya Siku ya Mtoto Afrika iliyosherehekewa tawini hapo leo mchana.

No comments: