Sunday, May 8, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI


SIMU.TV: Rais Magufuli aendelea kusisitiza kutafutwa kwa wafanyabiashara wote wanaohusika na kuficha kwa sukari nchini na kufikishwa mahakamani; https://youtu.be/TvgTbD1Jw7c

SIMU.TV: Madiwani kote nchini wametakiwa kuhakikisha wanaziba mianya ya uvujaji wa wa mapato katika halmashauri zao; https://youtu.be/t81WffjkKtw   

SIMU.TV: Wakuu wa wailaya katika mikoa ya Tabora, Kigoma na Shinyanga wamesema kero kubwa wanazokutana nazo ni migogoro ya ardhi katika wilaya zao; https://youtu.be/Nv-qnt2tTP4  

SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Ali Hapi amewataka wenyeviti wote wa mitaa katika wilaya yake kuwafichua na kubandika picha zao wale wote wanaokiuka agizo hilo; https://youtu.be/nzaTqL49nAY 

SIMU.TV: Watendaji wa mitaa nchini wametakiwa kuwa wawazi na ukweli katika utendaji kazi wao ili kuepusha malalamiko kutoka kwa wananchi; https://youtu.be/Upxmon2aOTA  

SIMU.TV: Mahojiano maalumu na taasisi ya Brighter Monday inayojishughulisha na udalali wa ajira nchini;https://youtu.be/hRhe3ahe5aw  

SIMU.TV: Timu ya Soka ya Yanga yazidi kujiimarisha kimataifa baada ya kufanikiwa kuwafunga Esperanca ya Angola kwa jumla ya mabao 2-0 katika michuano ya Shirikisho barani Afrika;https://youtu.be/izTWMyG7RzY  

SIMU.TV: Stand United yalizamisha jahazi la Coastal Union hapo jana baada ya kuwafunga mabao 2-1;https://youtu.be/pbw8ixwoJn4  

SIMU.TV: Serikali yatoa siku 14 kwa vyama vyote vya michezo nchini kufanya uchaguzi wa viongozi wapya na watakaokiuka agizo hilo wafutwe; https://youtu.be/5N4Ih9-2rmA

SIMU.TV: Hospitali ya taifa ya Muhimbili inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu ili kukidhi mahitaji ya wagonjwa wanaofika katika hospitali hiyo; https://youtu.be/Ei-PYnQcc-U

SIMU.TV: Wafanyabiahara wa biashara ndogondogo maarufu kama machininga wameiomba serikali kuwapa muda ili waweze kuondoka na kuhamia maeneo yaliotengwa kwa ajili ya kufanyia biahara zao.https://youtu.be/8oi1G6HIAPQ
  
SIMU.TV: Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi ametoa wito kwa maafisa ardhi na mipango miji kuwaelimisha wananchi kuhusu mipango yao ya sasa na baadae ili kuepusha kubomolewa kwa sababu kujenga maeneo yasiyoruhusiwa; https://youtu.be/puJR_CoafI0

SIMU.TV: Baadhi ya wakazi wa yombo wamelalamikia uchakavu wa daraja la gari moshi hali ambayo inahatarisha maisha ya wakazi hao. https://youtu.be/0Idv_tGV3ds

SIMU.TV: Stand united hapo jana imefanikiwa kuifunga timu ya Coastal Union mabao mawili kwa moja na kuifanya coastal union kushuka daraja. https://youtu.be/cBg3qEEKnW8

No comments: