Thursday, May 5, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Serikali imekanusha madai ya kutoa maelekezo kwa vyuo vya elimu ya juu kuwanyanyasa wanafunzi wanaojihusisha na siasa. https://youtu.be/xlMZDi4gqbw
 Mahakama kuu ya Tanzania kesho inatarajia kutoa maamuzi iwapo ina haki ya kusikiliza rufaa iliowekwa na mkurugenzi wa mashtaka DPP dhidi ya kufutwa kwa shitaka la utakatishaji wa fedha lilikua likimkabili aliekua mkurugenzi wa TRA Hary Kitilya na wenzake Shose Sinare na Sioi Solomoni https://youtu.be/_vVF-9LXG-w
 Meya wa jiji la Dar es Salaam amesema wananchi wa Dar es Salaam wanahitaji kutumikiwa ili kutatua kero zao za mda mrefu kama kupata maji safi na salama na kuirejesha UDA ambayo imebinafsishwa. https://youtu.be/boftXF66_qQ
 Rais Dr John Pombe Magufuli amemuapisha Dr Asha Rose Migiro anaekwenda kuwa balozi wa Tanzania nchini Uingereza anakokwenda kuchukua nafasi ya balozi Peter Kalaghe anaerejeshwa nyumbani. https://youtu.be/6ghUNh4w1rk
 Wananchi wa Mvumi na Gongwe wilayani Kilosa wapo hatarini kupatwa na baa la njaa kutokana na mradi wa skimu ya umwagiliajia uliopo kwenye vijiji hivyo kumilikiwa na watu kutoka nje ya wilaya hiyo. https://youtu.be/cKJvfFGCPt0
Serikali imeanza utaratibu wa kupokea taarifa kutoka sekta mbalimbali ili kujenga misingi ya kuandaa sera ya taifa itakayowawezesha watanzania kushiriki katika uekezaji.  https://youtu.be/yYMzd89E160
 Serikali imeanzisha mafunzo kwa wajasiriamali juu ya utumiaji wa vifungashio sahihi pindi wanapozalisha bidhaa zao ili kuongeza ubora wa bidhaa inapoingia sokoni.https://youtu.be/iq9J7Jxc53c
 Shirika la nyumba la taifa limejipanga kutumia zaidi ya bilioni mia saba ili kutekeleza miradi ya nyumba za makazi na biashara inayojengwa sehemu mbali mbali nchini.https://youtu.be/PNqnIJiBbeE
 Mchezaji wa Azam Fc Faridi Musa amefaulu vipimo katika klabu ya Diportivo ya ligi daraja la kwanza nchini Hispania. https://youtu.be/6zfUoEPfJRw
 Msanii Snura Mushi ameomba radhi watanzania kwa kutengeneza kuzindua na kuweka mitandaoni video ya wimbo wa chura ambayo imefungiwa na serikali.https://youtu.be/n-YM20ZiZAk
 Azam Fc imekatwa pointi tatu iliozipata kwenye mchezo wake dhidi ya Mbeya city Fc mwezi Februari kutokana na kumtumia mchezaji wake             Erasto Nyoni aliekua na adhabu ya kadi tatu za njano https://youtu.be/GvRGwc-nqyw
 Tamasha la Majimaji linalofanyika mjini Songea litaanza Mei 28 ambapo litahusisha riadha na mbio za baiskeli. https://youtu.be/hnyo6iwhJzg
 Kuelekea pambano la masumbwi la ubingwa wa dunia WBO kati ya bondia mtanzaia na bondia kutoka Iran waandalizi wamesema kuwa maandalizi yamekamilika.https://youtu.be/CfCJki9RzRs
 Wasanii mbalimbali wameshiriki katika zoezi la utoaji wa msaada wa vitabu vya hisabati katika shule ya sekondari ya Makumbusho. https://youtu.be/7h3ansEpu5g
 Liverpool wanatarajia kuwakaribisha Villa Real kutoka Hispania wakiwania nafasi ya kucheza fainali za kombe la Uropa. https://youtu.be/o0btE6RIjv8
 Simanzi yatanda wilayani Same baada ya watoto wanne wa familia moja kuua kikatili kwa kukatwa katwa na mapanga usiku wakiwa wamelala;https://youtu.be/Ck4DfUq472I
 Shule moja nchini Uganda yamshikilia mtoto wa kitanzania kwa miaka saba sasa baada ya kushindwa kulipa deni la ada linalokadiliwa kuwa milioni 6;https://youtu.be/mupUHJtlnZA
 Waziri wa katiba na sheria Dkt Harrison Mwakyembe amesema serikali itaendelea kuboresha masuala ya sheria na kikatiba ya nchi ili kuwezesha upatikanaji wa haki;https://youtu.be/WEqaTQlBbuE
 Baraza la madiwani wa manispaa ya Kinondoni lawasimamisha kazi mwanasheria na mthamini wa wilayan hiyo kwa kosa la upotevu wa baadhi ya mali za wilaya hiyo;https://youtu.be/Y0IxsArpXHs
 Mufti wa Tanzania sheikh Aboubakar Bin Zubery amewataka viongozi wote wa dini ya kiislamu nchini kuwa na mshikamano na umoja ili kuwatumikia waumini wao;https://youtu.be/g4LY0Ik_7ug
 Waandishi wa habari katika nchi za afrika  watakiwa kutumia kalamu vizuri ili kuendeleza amani na umoja katika nchi zao; https://youtu.be/mm55TLrsqoQ
 Rais Dkt John Magufuli amemuapisha Dkt Asha Rose Migiro kwenda kuwa balozi wan chi huko Uingereza huku akiahidi kuimarisha uhusiano wetu na Uingereza;https://youtu.be/Nx47DQ4vRAA
 Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Ackson Mbijima amewataka wananchi kufanya kazi kwa bidii wanapopata kazi viwanda ili kujenga imani kwa wawekezaji;https://youtu.be/E_OYUtAb9Ag
 Baraza la uwezeshaji nchini NEEC Laanza kukusanya maoni uchumi kutoka kwa wadau wa uchumi; https://youtu.be/G7PhaP-92DQ
 Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini yatunukiwa tuzo ya kimataifa;https://youtu.be/NtLZ332_Lpw
 Benki ya taifa ya biashara ya NBC yadhamiria kurudisha hadhi ya benki iliyokuwa nayo zamani baada ya kubadili uongozi ; https://youtu.be/F2pUjhVnJqU
 Kampuni ya ulinzi ya kiwango security yalalamika wizi wa betri za minara kitu kinachopelekea kukatika kwa mawasiliano; https://youtu.be/6IZrI6TZsNM
 Klabu ya soka ya Azam yapokonywa pointi tatu na magoli matatu na TFF baada ya kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano; https://youtu.be/Cc34fl_jdFo
 Maandalizi ya mchezo wa masumbwi kati ya Thomas na Muiran yapamba moto huku Mashali akijigamba kumtwanga mpinzani wake huyo; https://youtu.be/gS7fsTImaJk
 Tamasha la Majimaji Serebuka litafanyika mkoani Ruvuma mwaka huu likiwa na lengo la kuibua vipaji na wajasiliamali kuonyesha ubunifu wao; https://youtu.be/vkwFLYd-8jM
 Msanii wa muziki wa kizazi nchini Snura Mushi almaarufu kama Snura ameomba radhi kwa serikali na na watanzania kwa ujumla kwa wimbo na video yake iliyokiuka maadili ya kitanzania; https://youtu.be/oyqpTZczkJo

No comments: