Sunday, May 29, 2016

MDAU GOODCHANCE MONYO ACHUKUA JUMLA,AFUNGA NDOA NA BI ATILIA MAGELANGA

 Hatimaye mpiganaji   Goodchance Monyo na Atilia Magelanga wamefunga harusi katika kanisa la Mtakatifu Peter,Oysterbay jijini Dar hapo jana Mei 28 na baadaye tafrija murua kabisa ikafanyika katika ukumbi wa sabasaba
Pichani ni Bwana harusi Goodchance Monyo akila kiapo cha ndoa mbele ya Mkewe Bi Atilia Magelanga na wageni waalikwa  mbalimbali waliofika kushuhudia tukio hilo adhimu katika maisha ya Mwanadamu,ndani ya kanisa la Mtakatifu Peter,Oysterbay jijini Dar
 Bi harusi Atilia Magelanga akisaini hati yake ya ndoa
 Maharusi wakionesha hati zao za ndoa mbele ya wageni waalikwa mbalimbali
 Picha ya pamoja

 Wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye tukio hilo 
 Naaam wameishakubali kuwa mwili mmoja
 Bibi harusi akimvalisha pete bwana harusi ikiwa pia ni ishara ya upendo na wameishakuwa mwili mmoja 
 Goodchance Monyo na Atilia Magelanga wakiwa katika picha ya pamoja na mpiganaji Goodfrey Monyo mara baada ya ndoa kufungwa

  Bwana harusi akimvalisha pete bibi harusi kuashiria kuwa wameishakuwa mwili mmoja .

No comments: