Sunday, May 15, 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London wakati alipowasili ubalozini hapo  kuzungumza na watanzania  waishio  nchini humo Mei  14, 2016.. Kushoto  ni  Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe Msafiri Marwa
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London wakati alipowasili ubalozini hapo  kuzungumza na watanzania  waishio  nchini humo Mei  14, 2016.. Kushoto  ni  Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Msafiri Marwa
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania  nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na Watanzania Mei 14, 2016. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , kikanda na Kimataifa, Dkt Augustine Mahiga na kushoto ni Jaji Mkuu wa Tamzania Mhe. Mohamed Chande Othman
 Baadhi ya Watanzania waishio nchini Uingereza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa  Tanzania uliopo London   Mei 14,2016

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio  nchini Uingereza  kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014.   Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga. Kushoto ni KaimuBalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Msafiri  Marwa
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio  nchini Uingereza  kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014.   Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Kikanda na Kimataifa, Dkt Augustine Mahiga. Kushoto ni KaimuBalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Msafiri  Marwa
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Watanzania waishio Uingereza baada ya kuongea nao kwenye wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo  uliopo London  Mei  14, 2016.. Kushoto  ni  Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe Msafiri Marwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Watanzania waishio Uingereza baada ya kuongea nao kwenye wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo  uliopo London  Mei  14, 2016.. Kushoto  ni  Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe Msafiri Marwa. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: