Thursday, May 12, 2016

CRDB Yahimiza Watanzania Kutumia Huduma za Internet Baking.

 Mkurugenzi wa Huduma Mbadala za Kibenki katika Benki ya CRDB, Dr. Joseph Witts,  akizungumza wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wateja wakubwa wa Benki ya CRDB, wakifuatilia wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.
 Wakurugenzi wa Matawi ya CRDB, Mkurugenzi wa CRDB Holand House, John Almasi, , na Mkurugenzi CRDB Azikiwe Premier , Fabiola Musula,   wakifuatilia mada wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam
 Maofisa wa Benki ya CRDB, wakifuatilia mada wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.
 Maofisa wa Benki ya CRDB, wakifuatilia mada wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Holand House, John Almasi na Mkurugenzi CRDB akisalimiana na Mkurugenzi wa Huduma Mbadala za Kibenki katika Benki ya CRDB, Dr. Joseph Witts  wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.
 Baadhi yawafanyakazi wa  Benki ya CRDB, wakifuatia mada wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.

Baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB, Dr. Joseph Witts,  akizungumza wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Mangire Kibanda (aliye simama kushoto) akizungumza wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.

Watanzania haswa wateja wa Benki ya CRDB,  wamehimizwa kutumia huduma ya kibenki Internate Banking inayotolewa na benki ya CRDB ambapo mteja wa CRDB bank hana tena haja ya kwenda benki ili kupata huduma za kibenki bali sasa anaweza kupata huduma zote za kibenki mahali popote alipo kupitia mtandao wa internate.

Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Huduma Mbadala za Kibenki katika Benki ya CRDB, Dr. Joseph Witts,  wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya internete banking kwa wateja wakubwa wa CRDB Banki kutoka matawi manne ya CRDB, Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika jana kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.

Akizungumzia hizo huduma hiyo ya Internet Banking, Dr Witts amesema  
Benki ya CRDB inatumia huduma mbalimbali mbadala za kibenki
Ili kuwawezesha wateja wake wapate huduma za kibenki, bila kulazimika kwenda benki.

Dr. Witts amezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na huduma za ATM, SIM Banking, Internate Banking, E-Commerce, Point of Sales Machine, Fahari Huduma na huduma mbalimbali za malipo kwa kutumia Tembo Card.

Mkurugenzi wa tawi la CRDB, Holand House, John Almasi, amesema lengo la kuwaita wateja sio tuu kuwatangazia huduma hiyo mpya ya Internent banking, bali pia kupata fursa ya kuwasikiliza wateja kwa sababu CRDB  ni banki inayomsikiliza mteja.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa CRDB Tower, Corneli Miseyeki,  ametoa wito kwa wateja wa CRDB kutumia zaidi Internet banking ili kupunguza misongamano kwenye matawi ya CRDB  kufuatia benki ya CRDB kutoa huduma bora, hivyo kuwa na wateja wengi sana nchi nzima.

Mkurugenzi CRDB Tawi la Azikiwe Premier , Fabiola Musula,  amesema Internet Banking inapunguza ghara za uendeshaji, na miamala hufanyika papo kwa papo ambapo miamala mingi huweza kufanyika kwa wakati mmoja.

Semina hiyo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 ya Benki ya CRDB ambapo Jumla ya wateja wakubwa zaidi ya 100, walihudhuria semina hiyo, pia walipata fursa ya kuelekezwa kujaza fomu za kujiunga na huduma hiyo ya Internate Banking na walijaza na kuunganishwa na huduma hiyo.

No comments: