Thursday, April 14, 2016

WAZIRI WA CZECH REPUBLIC NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA WATEMBELEA KIWANDA CHA MAZIWA MILKCOM KIGAMBONI

Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiangalia chakula cha Ng'ombe wakati alipotembelea mashamba ya ng'ombe na kiwanda cha MilkCom kinachomilikiwa na makampuni ya OilCom Group kilichopo Kigamboni wilayani Temeke jijini Dar es salaam akiongozana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini humo, Ujumbe huo ulikuja nchini kwa lengo la kuangalia fursa za uwekezaji zilizopo nchini Tanzania na ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi hizi mbili.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-KIGAMBONI)
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiongozwa na Mkurugenzi wa kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi wakati alipokuwa akitembelea kiwanda hicho. 
Baadhi ya ng'ombe katika shabla la kampuni ya MilkCom
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi kulia, Mh. Balozi wa Heshima wa Jamhuri ya Czech Republic nchini Tanzania Mh.John Chaggama na SAid Nahdi Mkurugenzi wa Makampuni ya OilCom Group wakifurahia jambo wakati wa ziara hiyo ya ujumbe wa Czech Republic.
Baadhi ya wafanyabiashara hao wakikagua eneo la kukamulia maziwa.
Dk. Sajeev Kumar Meneja wa Shamba la mifugo akitoa maelezo kwa Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic na ujumbe wake wakati alipotembelea shamba hilo.
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiuliza jambo wakati alipotembelea shamba la ng'ombe la Milkcom.
Meneja wa Shamba la ng'ombe la Milkcom akitoa maelezo kwa Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic na ujumbe wake wakati alipotembekea katika shamba hilo.
Ng'ombe wa maziwa wakikamuliwa kwa mashine maalum.
Francis Gatara Meneja wa uzalishaji kiwanda cha maziwa cha Milkcom akitoa maelezo kwa Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic wa tatu kutoka kulia , kulia ni Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Bw. Salim Nahdi.
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic wa pili kutoka kulia na baadhi ya wafanyabiashara wakiangaliwa pakiti za maziwa ambayo tayari yameshazalishwa kwa ajili ya kuingizwa kwenye soko.
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic wa pili kutoka kulia na Mkurugenzi wa kiwanda hicho Salim Nahdi wa tatu kutoka kulia wakionyesha pakiti za maziwa yaliyokwasha tengenezwa tayari kuingiua kwenye soko.
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akipokea zawadi kutka kwa Salim Nahdi Mkurugenzi wa kiwanda cha maziwa cha Milkcom.
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kiwanda cha Milkcom na ujumbe wa wafanyabiashara alioongozana nao.

No comments: